nadhani kama ni search engine (Servers) zinazomilikwa na google 100% kwa africa google zipo south africa tu. Yaani hata wafanyakazi wameajiriwa na google.
sina uhakika lakini nadhani Hizi nchi nyingine kama Kenya, Nigeria, Egypt wanaweza wakawa na ofisi zenye watu wa marketing na sales tu au wakashirikiana na baadhi ya taasisi za IT. ila wakenya wanatuacha.
sina uhakika lakini nadhani Hizi nchi nyingine kama Kenya, Nigeria, Egypt wanaweza wakawa na ofisi zenye watu wa marketing na sales tu au wakashirikiana na baadhi ya taasisi za IT. ila wakenya wanatuacha.
Powa mkubwa nimekuelewa lakini mimi nasema kama sina uhakika au sijaelewa kitu vizuri. Hata kama nimekisoma. nikisema sina uhakika ni kuwa ningependa kuelimishwa zaidi na kuhakikishiwa. Ndio maana tunatembea sehemu kama hizi.
Hii link nimeiona lakini nilichokuwa nasema sina uhakika ni kama google wana , Servers ,administrator waliopo kenya au cairo.Ni kitu sina uhakika nacho. I mean hawa wafanyakazi waliopo kenya, kampala, Acrra wakiwa wanafanya kazi zao kwa africa server zenye data ziko wapi?
Ingawa haina haja kujadili server za google zi wapi (maanake mwazilinshi wa topic hii anataka kujua tu kama Tz Kuna afisi za google), kwa kukujulisha tu server za google cache zimo Kenya na Mauritius na South Africa, na kuna mipango ya kuestablish google Point of Presence (POP) katika nchi za SA, Nigeria na Kenya mwakani.