Utamu wa kubaka?Utakuta alikuwa anatoa sauti ya ..."shhhh aaa shhhh aaaa shssshhhhh"...!Utamu wa less than 5 minutes umempeleka jela maisha.. Poor you....
Wewe ni k au M?Utamu wa kubaka?Utakuta alikuwa anatoa sauti ya ..."shhhh aaa shhhh aaaa shssshhhhh"...!
Unapendelea nifungue flaizi au avatar yangu huwa inakuwazisha kama umemuona mshangazi amevaa libukta kubwaaa anachoma vitumbua kibarazani?Wewe ni k au M?
Kuna rufaa. Visa vya kubaka watoto viko vingi sana mimi nafurahia sana kusikia wanapata adhabu kali.Ukute KESI ni ya kupikwa
Huwa akili zinahama kwa muda.Kabla ya kufanya upuuzi, fikiri kwanza
Wanaoenda jela sio wote wanahatia.mwenye akili timamu lazima apime matendo na matokeo yake......
Wengine wapo gerezani kwa kusingiziwa..!!Kabla ya kufanya upuuzi, fikiri kwanza
Kweli, Mungu mwenye haki awakumbuka na kuwatoa.Wengine wapo gerezani kwa kusingiziwa..!!
Naona wana sheria humu mupo wengi sana .....Watu hawajui sheria ukibainika unafanya mapenzi na mtoto under 18 ages hii inakuwa kesi ya ubakaji
Ila kama ukikamatwa unafanya mapenzi na above 18 akiwa bado shule utapewa kesi ya kutembea na mwanafunzi kifungo miaka 30
Maana yake kama yuko under 18 na ni mwanafunzi basi utapigwa miaka 60 jera au maisha