Jela ni jela iwe usa au tanzania zaweza fanana

Jela ni jela iwe usa au tanzania zaweza fanana

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,440
Nimetazama documentary moja kuhu Miami Mega Jail. I have just been shocked kuona kumbe baadhi ya jela/ Rumande za huko USA hazina tofauti na jela zetu.

Tena mbaya zaidi hizo kwao sio Jela ni rumande za watu mabo bado hawajapatiana na makosa. Angali hizi clip
1


2


3


endelea na clip zingine youtube
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom