Jemba latarajia kujifungua kabebi ka pili

Jemba latarajia kujifungua kabebi ka pili

huyu njemba awali alikuwa mwanamke kisha kwa utaalamu wa
sasa akawa "mwanamume" lakini akabakiza njia za kupata mimba
na kuweza kupata watoto. sasa anatarajia kujifungua mtoto
wa pili akiwa "mwanamume".

inaelekea "njemba" inataka kuwa kote kote.

http://blogs.suntimes.com/oprah/2008/1/pregnant_man_who_was_on_oprah.html

Huyu jamaa si mwanaume maana alizaliwa kama mwanamke kwa jina la Tracy Langondino na hakuwa na matatizo yoyoye na kuamua kujibadilisha kuwa mwanaume maana waliona kama same sex huko Hawaii ambako ndoa hizo haziruhusiwi hivyo akaamua kujibadilisha awe mwanamume ili kuhalalisha ndoa yao na walipoamua kupata mtoto yeye ndiye ilibidi abebe ujauzito maana mkewe miaka 20 iliyopita alifanyiwa hysterectomy.
 
Back
Top Bottom