Jembe jipya la Yanga latua usiku huu, ni Obrey Chirwa kutoka Zambia!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986

Obrey Chirwa akiwa kwenye gari la Katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam wakielekea makao makuu ya klabu, ambako anatarajiwa kusaini Mkataba wa miaka miwili usiku huu!!
==================================
Updates:
Obrey Chirwa amalizana na Yanga, jina lake latumwa CAF, now yupo kwenye ndege kuifuata timu Algeria.
 
Mkuu anamudu nafasi ipi?
 
Nan anatemwa mana tyr wa kimataifa washafika nane au musona hajasaini
 
katemwa #mniger yule #yussou bobukar...
 
Ngumu kumeza inahusika hapa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…