Jembe jipya la Yanga likifanyiwa vipimo leo!!!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Yanga imemfanyia vipimo mshambuliaji Issofou Boubacar ?Diego raia wa Niger
 

Attachments

  • 12366351_917316218359384_3317678826836943408_n.jpg
    24.9 KB · Views: 788
  • 11140076_917316128359393_4586319555654151853_n.jpg
    18.7 KB · Views: 731
  • 12347901_917315965026076_6064078784959321465_n.jpg
    19.1 KB · Views: 708
  • 12391101_917316188359387_4692412657517057599_n.jpg
    20.9 KB · Views: 696
Hii timu ina washambuliaji wangapi sasa
 
Usajili wa kishamba kweli...mshambuliaji mwenye takwimu za kutia shaka bado unamuita jembe..au wameangalia jina la nchi kwasababu linafanana na Nigeria basi wakajua jamaa anaweza???lawama zote kwa TFF hakuna utaratibu wa kuelewela kuhusu vigezo vya kusajili wachezaji wa nje
 
nachukia timu yangu Yanga na taifa stars sababu yakuwa na ubia na chama cha mapinduzi
 

Simba na Yanga kuingia chaka ni kawaida sana, ngoja tujaribu tena bahati yetu maana hata upande wa pili uliingia chaka mara kibao viz. Papaa Niang, Pape Nd'aw, Sserunkuma etc.
 
Afrika ya Magharibi kunaongoza sana kuwa na matapeli.

Poleni Yanga kwa kutapeliwa mchana kweupe.
 
Afrika ya Magharibi kunaongoza sana kuwa na matapeli.

Poleni Yanga kwa kutapeliwa mchana kweupe.

Kwa Afrika Mashariki matapeli mengi yako Kenya yakifuatiwa kwa karibu sana na Uganda na huko Msimbazi ndiko yamejaa, poleni pia.
 
mfano kama wewe hivi mwana ccm ulivyo comment hapa

Siyo CCM tu hata ndani ya Yanga kuna UKAWA na ndani ya Simba kuna UKAWA pia!

CONCLUSION:
Unaweza kupenda Yanga ukiwa mwana CCM au ukapenda Yanga ukiwa mwana UKAWA hivyo hakuna haja ya kukwazika.
 
Siyo CCM tu hata ndani ya Yanga kuna UKAWA na ndani ya Simba kuna UKAWA pia!

CONCLUSION:
Unaweza kupenda Yanga ukiwa mwana CCM au ukapenda Yanga ukiwa mwana UKAWA hivyo hakuna haja ya kukwazika.
wanaccm wanazitumia vibaya hizi timu wengi wanakimbilia kwenye nafasi za juu za uongozi wa klabu kwa mitaji yao ya kisiasa,mpaka leo hizi timu zinategemea wafadhili sio wadhamini,kuna matatizo mengi sana ndani ya hizi timu yanayo sababishwa na nyie wanaccm
 
Uzuri wa haya mambo yanakipimo chake uwanjani. Unaweza kumtukana huyu mchezaji kuwa hafai halafu akaja kung'ara kuliko wote, au unaweza kumsifia akaja kuwa hovyo kuliko wote. Jawabu zuri hapa, tusubiri tuone uchezaji wake.
 
nimemuona mechi ya chan mwaka 2012 na amezaliwa nov.1990 ni winga anatumia sana mguu wa kushoto kupiga shuti umbile lake kama kipre cheche kama atakuwa vile ni mzuri kuliko contihno
 
Siasa tutafanya tena 2020 hivi sasa #Hapakazitu , ndani ya Simba kuna wana-CCM na ndani ya Yanga kuna wana-CCM pia, sasa wewe nini kinakukwaza?

Mkuu #Makoye-matale usipate shida kumuelimisha mtu kama huyo, yawezekana hata hajui alisemalo.
Rage
Nkamia
Majaliwa Kasimu
Majimarefu na wengine wengi anawajua wanaipenda timu gani na ni wabunge kupitia chama gani cha siasa!!!!!!!????
Tanzania ina watu wana uwezo mdogo sana wa kufikir.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…