Jembe litakalogombea ubunge kwa tiketi ya chadema wilaya ya lushoto tanga 2015

Jembe litakalogombea ubunge kwa tiketi ya chadema wilaya ya lushoto tanga 2015

witnessmwanga

Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Wana jf kunajamaa mmoja anaitwa bernard adam(mzaliwa wa irente mhelo lushoto) amezaliwa lushoto na kusoma lushoto. Kwa sasa anasoma masters of education chuo kikuu cha tumaini makumira mkoani arusha. Alishawahi kuwa 1.waziri wa elimu wa chuo hicho 2010/2011 2.rais wa chuo hicho 2011/2012 3.kamishna wa serikali za vyuo vikuu kanda ya kanda ya kaskazini 2011/2012 4.kwa sasa ni katibu wa utamaduni na maadili wa wanafunzi wa nchi za afrika mashariki 2012/2013 wakati akiwa waziri wa elimu wa chuo hichi alifanya kazi kwa bidii na maarifa na alipogombea urais alikuwa na wapinzani wa2 ambao aliwabwaga chini na baadae akawaita washirikiane kwenye baraza lake na wakatii. Nimetafuta namba zake nimezipapa ni 0767 na o655 523679.wana lushoto mtumieni huyu jamaa mana aliipa serikali masaa 24 kutengeneza matuta kwa shinikizo la mgomo baada ya kufariki mwanafunzi emanuel olomi 13/11/1211 na serikali ikatii mana jamaa huyu ni jembe.
 
Huko Lushoto naona kutatokea mtifuano wa CHADEMA, NCCR na CCM ikifuatia kwa mbali
 
kuendelea kujitokeza kwa wenye nia ya kugombea jimbo la Lushoto ndio afya ya kidemokrasia iliyo beba uhuru wa kuamua na kugombea. Hata hivyo tuendelee kujikita kwenye kukijenga chama na kukieneza mpaka kwenye mizizi ya ushindi ili atakaye pitishwa kupeperusha bendera ya chama asiwe na kazi kubwa.

*Tukiwa tuna waza ubunge tuwaze na kugombea uwenyeviti wa serikali za mitaa 2014.

Kuendelea kujitokeza wenye nia inaonyesha ni jinsi gani mabadiliko ya Lushoto yanawezekana kwa kuwa nia na dhamira ya kuing'oa ccm iko akilini mwa kila kijana.
 
kwa hali ilivyo hapo lushoto chadema inaguvu sana kama wataendelea kukijenga chama na kujipanga kwa uchaguzi ujao hakika jimbo hilo bila kwere linaenda chadema..
 
Mohamedi Mtoi ulichokisema ni kweli kabisa tuhakikishe tunaongoza serikali mitaa kwanza natukifanikiwa hilo tunamalizia mipango ya kulinda kura za mwaka 2015 nina hakika kama sisi ndiyo tunaongoza serikali ya vijiji bila shaka tutapata makamanda wa uhakika kulinda kura kwani kete ya ccm iliyobaki ni kucheza na mawakala na kuiba kwa njia mbalimbali..
 
Last edited by a moderator:
Kaka mtoi watu wakomae sana kakaa na nimekusaka kwa mda mrefu sana brother mana ninataarifa zako za utendaji bora. Amini msiamini chama la Arusha litatia timu lushoto kuhakikisha tunafanya mabadiliko. Mtoi kaka nirushie no yako kwenye 0784 523679.
 
Back
Top Bottom