Jembe ni jembe na Alberto Msando

Jembe ni jembe na Alberto Msando

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
288
Reaction score
230
Huwa nasikia kichefu chefu na kutaka kutapika nikipitia page za hawa jamaa Instagram....Hebu pitieni mpate angalau motivation jamani, lakini onyo nenda na limao usitapike bure....

Jembe ndo ananiua kabisa, ana range ana hummer, bado helcopta kudadeki, Jembe FM na Jembe ni jembe Club...

Kudadeki acha tu, nawatamani kinomaaa..
 
Huyu jamaa kapiga hela ndefu sana kwenye show ya jana CCM KIRUMBA
 
Msando yuko vizuri sana kiuchumi halafu haringagi huyu baba!

am just sayin'
 
msando yupo peace sana hata jembe nshafanya nae kazi moja yupo peace sana. Ni baraka tu za kuishi na watu vizuri
 
huyo Ndege si yule alikua anatangaza njia panda clouds kipindi flani? yule jamaa ana roho safi sana acheni tu Mungu ambariki.
 
Aisee sijaona watu wanao change world na maisha ya watu on this earth wana show off this much...

Huwezi mkuta bill gates ana show off aisee...sana sana utamwona na Toyota Prius yake anatoka Microsoft HQ na kibegi chake kavaa kisweta na flat shoes,very simple...

Sasa watu waliopata hela kama accident,utawaonea huruma wanavyojitahidi ku impress audience,so corny....

It doesnt get more fascinating than seeing an old jewish dude walking around with slippers without knowing he owns numerous blocks,airports,sea ports,railway networks,sports stadiums,etc
 
Back
Top Bottom