Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto


Points hasahasa hapo kwenye red
 
Kwani Field mashall Es ni nani? Umekimbia kwenye makontena sasa unarukia na huku? Hivi wewe mshipa wa noma umekufa?
 
Le kubwa jingazi,masuala ya siasa yanaingiaje hapa?!,ww mzee akili zako hazipogi sawa nadhan,...
 
Le kubwa jingazi,masuala ya siasa yanaingiaje hapa?!,ww mzee akili zako hazipogi sawa nadhan,...
Huyo Le Mutuz ndio alikuwa anaongoza kumtukana Mzee Kikwete hapa JF, leo anajifanya mtakatifu kumbe hajui ni kwa nini teuzi zote jina lake halimo? Ukweli kwamba anapendekezwa lakini yupo kwenye black list ikifikia vetting wazee wa Eagle house wanapiga mkasi.
Le Mutuz kama bado unawaza teuzi kwenye umri huo wa retirement nenda kamuombe msamaha mzee Kikwete. Na ushahidi upo hapa JF wa matusi na kashfa zako kwa Mzee Kikwete.
 
Vipi Makontena uliyoyatetea ya jamaa ako Daudi Bashite amelipa kodi?
 
- hahahahaha hapna kuna watu waliinita ndio maana nipo busy sana nauza vitabu U know

le Mutuz Superbrand
hahaa nafuu umekuja " kujibu hizi tuhuma "... najua hushindwagi hoja " ngoja nikae kitako vyema
 
Vipi Makontena uliyoyatetea ya jamaa ako Daudi Bashite amelipa kodi?

- Nilidhani mmeniita ishu ya Miss Tanzania sasa mbona mnachanganya mada, anzisheni ya Makontena niwape habari kamili, halafu by the way tatizo ni makontena au urafiki wangu na yeye?

le Mutuz Superbrand
 

- Sijawahi kuomba cheo kwa yoyote JK ni rafiki yangu wa karibu sana ningetaka cheo ningemlilia niliporudi angenipa, unataka nikawe DC Tandahimba? hunipendi sana ndugu nimeamini, sasa kelele zako zote miaka 30 ya Chadema mbona hawakupi ubunge viti maalum tu? hahahahahaha

le Mutuz Superbrand
 
Sikuangalia hilo shindano lakini wamekosea sana.. Miss Tanzania ni shindano lenye Tija sana nchini likitumiwa vizuri... Kupotea kwake kwa miaka kadhaa kumepotezea watu wengi sana fursa..

Dada yetu kajikongoja kulirudisha bado kuna watu wanapinga juhudi zake bila sababu za msingi..

Bongo kweli nyoso
 
Alaaa naona umekuja kubwa lao mana nilimtaja jembe sasa umetokeza ww pole sana William matako makubwa
 
Basila ka jitahidi kwa shindano ni vile anaanza ata improve, pia Mamiss wa mwaka huu ni wazuri sana
Naomba muwatupie hapa hao mamiss nami niwaone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…