GE2025 Jemedari Said ajitosa kuwania Ubunge Mtama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mchambuzi wa soka na mchezaji wa zamani wa timu ya Kariakoo Lindi, Jemedari Said Kazumari (kushoto) amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Mtama leo Juni 30, 2025.


Kazumari amekabidhiwa fomu hizo na Katibu wa Wazazi Wilaya ya Lindi Vijijini katika Ofisi ya CCM wilayani humo Anthony Ismail.

 
Jemedari Said amechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mtama mkoani Lindi

Naona mwamba anataka kuzipima na comrade Nape[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…