Jemedari Said awajibu Yanga kuhusu Manara kupewa kazi ya kuchagua wachambuzi watakaokwenda Algeria

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
TAYARI HUKU.

"HATUHITAJI kwenda Algeria kwaajili ya kwenda kuchambua mechi ya Gongowazi mzigo wote DSTV kama kawaida na hakuna ambacho hakitaingia kwenye Record.

KILA jiwe litahesabiwa na kuingia katika hansard ya uchambuzi uliotukuka kama Gongowazi watashinda au watakandwa kama ilivyokuwa kwa MKAPA.

Kama tunaongelea final kubwa ya CAF CHAMPIONS LEAGUE tukiwa hapa hapa ijekuwa haka ka-shirikisho ndo twende Algeria?

Kuna final kubwa kuliko ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE kwa vilabu DUNIANI? Mbona hatuambiani kuhusu kwenda, watu wakikosa Agenda wanaona watumie majina yetu sio.

Tulishakataa kuwa watumwa ili kuokoa mpira wetu kwa hiyo hakuna namna tuvumiliane tu, mkipatia lazima tutasema mmepatia lakini mkiburuzwa lazima tutasema MMELOAA.

Hii haiwezi kuwa agenda baada ya baada ya kipigo, agenda setter huyu hamna kitu agenda ilikua kupindua meza baada ya "WAI NOTI AS" kuanza kuonekana kufa kifo cha kawaida."

BIN KAZUMARI (voice of voice less)

1685477470072.jpg
 
BIN KAZUMARI (voice of voice less)View attachment 2640811
Kama walisema hivyo yanga haya ni majibu kuntu kbs
 
MWAMBIENI HUYO MSEN.E WENU KUWA YANGA INAKWENDA KUVAA MEDALI NA IKIWWZEKANA NI YA DHAHABU.
 
View attachment 2640811
asa fainali ya champions ligi akupeleke nani au wazee wa robo4??
 
Yaani huyu jamaa mbwiga wa mbwiga kabisa aka chakla bwabwa tu.
 
Sasa wachambuzi wanini mbona nchi ya ajabu, wanao hitaji kusafiri na timu ni waandishi wa habari,tuna vyombo vya habari kibao wawachukue waandishi wa habari wa michezo basi.
 
Kichaa kapewa rungu,hakatizi mtu eneo hilo....hebu tuone wachakuku wataoenda watakuaje kuaje
 
TAYARI HUKU.

"HATUHITAJI kwenda Algeria kwaajili ya kwenda kuchambua mechi ya Gongowazi mzigo wote DSTV kama kawaida na hakuna ambacho hakitaingia kwenye Record.

KILA jiwe litahesabiwa na kuingia katika hansard ya uchambuzi uliotukuka kama Gongowazi watashinda au watakandwa kama ilivyokuwa kwa MKAPA.

Kama tunaongelea final kubwa ya CAF CHAMPIONS LEAGUE tukiwa hapa hapa ijekuwa haka ka-shirikisho ndo twende Algeria?

Kuna final kubwa kuliko ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE kwa vilabu DUNIANI? Mbona hatuambiani kuhusu kwenda, watu wakikosa Agenda wanaona watumie majina yetu sio.

Tulishakataa kuwa watumwa ili kuokoa mpira wetu kwa hiyo hakuna namna tuvumiliane tu, mkipatia lazima tutasema mmepatia lakini mkiburuzwa lazima tutasema MMELOAA.

Hii haiwezi kuwa agenda baada ya baada ya kipigo, agenda setter huyu hamna kitu agenda ilikua kupindua meza baada ya "WAI NOTI AS" kuanza kuonekana kufa kifo cha kawaida."

BIN KAZUMARI (voice of voice less)

View attachment 2640811
Hakuna mchambaji hapo EFM, Wasafi au Clouds angeambiwa aende akakataa, acheni upuuzi wenu. Mnajipandisha chart msiyokuwa nayo.
 
Back
Top Bottom