political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
TAYARI HUKU.
"HATUHITAJI kwenda Algeria kwaajili ya kwenda kuchambua mechi ya Gongowazi mzigo wote DSTV kama kawaida na hakuna ambacho hakitaingia kwenye Record.
KILA jiwe litahesabiwa na kuingia katika hansard ya uchambuzi uliotukuka kama Gongowazi watashinda au watakandwa kama ilivyokuwa kwa MKAPA.
Kama tunaongelea final kubwa ya CAF CHAMPIONS LEAGUE tukiwa hapa hapa ijekuwa haka ka-shirikisho ndo twende Algeria?
Kuna final kubwa kuliko ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE kwa vilabu DUNIANI? Mbona hatuambiani kuhusu kwenda, watu wakikosa Agenda wanaona watumie majina yetu sio.
Tulishakataa kuwa watumwa ili kuokoa mpira wetu kwa hiyo hakuna namna tuvumiliane tu, mkipatia lazima tutasema mmepatia lakini mkiburuzwa lazima tutasema MMELOAA.
Hii haiwezi kuwa agenda baada ya baada ya kipigo, agenda setter huyu hamna kitu agenda ilikua kupindua meza baada ya "WAI NOTI AS" kuanza kuonekana kufa kifo cha kawaida."
BIN KAZUMARI (voice of voice less)