political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
AMEWAJIBU WANAOULIZA IKULU ALIFATA NINI.
Mtangazaji wa kituo cha utangazaji cha Redio na Television Tv E JEMEDARI Saidi, amejibu hoja za wanayanga ambao walikua wanahoji kua jana alifanya nini pale ikulu?
Amejibu kama hivi;-
"Mimi na Yanga wote tulikua waalikwa pale sio jangwani pale ni ikulu, Yanga sio kwao na mimi sio kwangu wote sio kwetu.
"Jambo kama lingekuwa la kwao nisingekuja kwamaana kwamba wasingenialika, lile jambo halikua lakwao wao wamealikwa kwenda kupongezwa sisi tumealikwa kama wadau"
"Raisi alipozungumzia swala la Feisal kweli nilipiga makofi sana''
"Nilipokua nimekaa kwa nyuma yangu alikua amekaa Privadinho wakati Raisi wa Yanga herisi anaingia IKULU priva akawa amesema tusimame tupige makofi akiwa anapita nikamjibu umechanganyikiwa nini Raisi wa Yanga hapigiwi makofi" amesema Jemedari Saidi (voice of voice