Jemedari Said bin Kazumari amewajibu mashabiki wa Yanga waliouliza Ikulu alifuata nini jana...

Watu wazima wanyanyuke kumpigia Hersi wa Yanga makofi? Wanahayawani labda. Utopolo pro max

Darlin kampigie rais wenu makofi.
Yule Privah keshakuwa kama kachanganyikiwa.Kutwa kanapiga mayowe utadhani kitoto cha form two.Anaemdanganya kuwa style ya kusurvive pale Yanga ni kuwa Chawa kumzidi Manara kuwafurahisha maboss zake amempotosha sana.
 
Soka la bongo watu wanataka kujiona wakubwa sana kumbe hawana lolote jemedari anachofanya wengi hawamuelewi kwakua wanauoga wa kijinga haya mambo ya kushobokea timu kubwa ni utumwa tu. Bora ujenge brand yako watubwakuelewe kua unamisimamo. Alafu swala la ikulu linaeleweka wote ni waalikwa kuuliza kafuata nini kwani wao yanga au simba walioko pale walifuata nn. Na swala la kusimama kisa herisi anapita ni umama hana la maana yule kenge tu
 
Uzuri ni mwana Yanga mwenzao. Maana namfahamu vizuri tu Jemedari ni Yanga wakutupwa na rafiki yake Mecky Mexime. Uongozi huu sijui wametibuana wapi
 
Hili linathibitisha akili ya asiye akili. Yaani ualikwe sherehe ya kumpongeza adui yako na wewe upeleke tumbo?
 
Mkuu, Hilo swali aliulizwa na muendesha kipindi na sio mashabiki wa yanga, lakini pia wewe unaelewa protocol, ikulu wanasimama akiwa anaingia rais wa nchi tu na sio wengine

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Naweza nikasema rasmi kuwa huyu jamaa hajielewi.
Anaojibizana nao ni mashabiki siyo management, anasahau nafasi yake kama Mchambuzi na muaj8riwa wa k8tuo anatumia nafasi hizo kuishambulia Yanga, maana kwa maneno yake hapo walengwa si mashabik8 bali Yanga kama timu
 
hili jinga mnahangaika nalo la nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…