Jemedari Said Bin Kazumari

KASULI

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
599
Reaction score
677
Binafsi huwa nashangazwa sana na mtifuano wa huyu mwamba na Semaji la Nchi, Haji Sunday Manara.

Ni watu wawili ambao kimsingi naona kama wanavuka mstari linapokuja suala la Simba na Yanga

Wanapigana vijembe na mara nyingine kuneneana mabaya.

Hivi ni kweli Jemedari Said hajui Kingereza? Je, ni kweli elimu yake ni ya kuunga unga mwana?

Binafsi niliwahi kusikia kuwa Jemedari aliwahi kuwa mchezaji wa daraja la kati akicheza Kariakoo Lindi, Meneja wa Azam FC, lakini pia amewahi kuwa Afisa wa TFF.

JE, KOTE HUKO ALIPATA AJIRA AKIWA KAMA MCHEZAJI WA ZAMANI au ana elimu ya "Kufiti" nyazifa hizo?

Je, ni kweli hata EFM wamempa kibarua kwa kuwa aliwahi kuwa mchezaji wa zamani au ana sifa za kielimu za kuwa mchambuzi au mwanahabari?

Vipi kuhusu hasimu wake Haji Manara?
 
Kwako Elimu ni nini?, ifike hatua utofautishe uwezo wa kukalili makaratasi na maarifa ya kutatua changamoto za kila siku zinazotuzunguka. Hauna tofauti kifkra na Profesa anayesema mkojo na vinyesi vya ng'ombe ndivyo vinaleta balaa mto Mara.

Bin Kazumari ana elimu ya kutosha inayomuwezesha kumudu maisha ya kila siku pasipo kujalisha ameishia darasa la 4 B au amefika chuo kikuu.

Tukija kwenye hoja ya msingi unahisi kati ya wanaojiita wasomi wengi ukiwalinganisha na mtu kama Mbwiga Mbwiguke au Millard Ayo unadhani hapo nani ana Elimu ya kumudu kile wanachokifanya?.
 
MANARA NIMESOMA NAE MBEYA(Chimala sec),TUAMBIE JEMEDARI KASOMA WAP
 
Haji ni mfitinishi namba moja nchini na anajua kutia huruma sana kuona anaonewa.
 
Kama ni kiingereza tu watanzania wengi hatutui licha ya kuwa tumeingia marasani. Hata ndoto tunazoota usiku wengi wetu tunaota kwa kiswahili tu.

Hata hao wasomi mawaziri mpaka waliowahi kuwa wa elimu akina Joyce akina Mulugo nasikia mpaka John alikuwa hajui vizuri kiingereza lakini wana maarifa.
Ukiona mtu anakucheka kwa sababu hujui kingereza ni mpumbavu tu kwa sababu hatujazaliwa nacho.
 
O level kasoma sabasaba mtwara, na A level kasoma Lindi
Acha uboya wakubisha kijinga...mtafute akwambie ukweli kila akienda mbeya lazma apite pale chimala sec afanye contrbtion na wenzake wawili watoto flan wa kigogo wa CUF wamesoma pale
 
Acha uboya wakubisha kijinga...mtafute akwambie ukweli kila akienda mbeya lazma apite pale chimala sec afanye contrbtion na wenzake wawili watoto flan wa kigogo wa CUF wamesoma pale

Khaaaaa
Hivi kabla ujajiunga jf ulisoma umri wa kujiunga?

Topic ni jemedari na nimejibu kuwa jemedari kasoma mtwara na lindi
 
Hebu lete clip ya dakika 3 ya manara akiongea kiingereza tuone hicho unachokiongelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…