Jemedari said: Simba kapigwa 5-1 kwenye jezi pia

Duuh sure??
 
IV
Kwa jezi hizo mbili.

Jezi ya yanga ni nzuri, wakati jezi zetu ni zipo zipo tu.
Shida tu siwezi kuvaa jezi ya yanga hata kwa bahati mbaya, ila ni jezi nzuri.

Utaratibu mzuri sana
 
Yaani SIMBA FANS Msimu huu tutaumia hadi basi, Humiliating defeat kwa kujitakia, Timu inafanya Press za hovyo kana kwamba hawana Maumivu kabisa, Jezi sio nzuri ukizngatia na Morali ya timu ipo chini hata nguvu ya kununua unakosa, Hapa naona dalili ya Another Package of Pain inakuja kwenye hizi mech za CAFCL.
MUNGU isaidie simba kwakweli.
 
Hahahaa ana maspika yake makubwa kayaweka shop pale yanapiga kelele kweli yan kuvutia wateja waende wakadake jezi, aisee hatariii, alafu namwonaga studio hapa njia panda ya mwananyamala nyuma ya roby one fashion sijui anajenga gorofa pale, noma sana
Kwa hizi jezi...labda agawe bure ....ndipo kina Kalpana watazifuata [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…