Jemedari said: Simba kapigwa 5-1 kwenye jezi pia

Kwa jezi hizo mbili.

Jezi ya yanga ni nzuri, wakati jezi zetu ni zipo zipo tu.

Shida tu siwezi kuvaa jezi ya yanga hata kwa bahati mbaya, ila ni jezi nzuri.
Yaan wewe ni kama mimi nikiingia maduka ya GSM roho inaniuma saana jinsi nyuzi za yanga zilivyotamu, nabaki kumpointia mshkaji wangu tuu ambaye ni shabiki wa utoo.... inauma saana yani😪😪😪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…