OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kutoka Johari Rotana mpaka kwenye ‘Banda la Video’ pamoja na maelezo ya kujivunia kwamba tunafanya kwenye ukumbi wetu lakini ulipaswa kuwa uliokamilika na wenye hadhi ya kuendana na thamani ya Ligi ya 5 kwa ubora Afrika, huwezi kujivunia kuona sherehe za tuzo zinafanyika sehemu kama banda la video la Majohe Kwa-Baba Isaa, zingine siasa tu.
Watu wanasahau kwamba hii ni 2023 na shughuli ipo LIVE na kuonekana sehemu kubwa Duniani? Iliyotambulishwa kama Kamati ya maandalizi ya sherehe za tuzo ilikuwa na kazi gani? Imeongeza nini kipya kama sherehe tumefanya kwenye mahema, kamati ya tuzo ile ya kawaida isngeweza hili?
Mfungaji bora wa Ligi ya wanawake anapewa tuzo, Video inaonyesha wakati anakosa bao! Hakukua na video akiwa anafunga?
Kipa bora kuna haja ya kuwashindanisha wakati vigezo ni wazi kama vya mfungaji bora tu unless kuna sintofahamu kama ile iliyojitokeza kwenye ufungaji.
Mchezaji bora wa U20 sio mchezaji bora chipukizi, naambiwa hiyo U20 ni msimu uliopita kwakuwa msimu huu haijafanyika, Kamati ya tuzo iangaliwe.
Wakati beki bora anatafutwa tunaonyeshwa mabeki wakiwa wanafunga mabao kuliko kuonyeshwa kazi za kibeki, Kamati haina watu wa ufundi? Kamati iangaliwe hii inaturudisha nyuma.
Siku ya tuzo nominees wanabaki 3 lakini kwetu kwenye category za kiungo bora, beki bora, goli bora na mchezaji bora walikuwa wagombea 5 mpaka siku ya utoaji zawadi, Kamati ilijisahau au?
Kamati imepatia kwenye suala la mfungaji bora, iliweka upuuzi pembeni ikasimamia weledi.
MVP angeweza kuwa Saido au Mayele na kwakuwa tuzo ni branding pia hapa walikuwa na watu sahihi.
Mayele amaeibuka kinara ingawa Saido kwangu amemzidi Mayele values, hapa ndo ilikuwa sehemu ya kuangalia technical aspects, kwa kiungo mchezeshaji kuwa na mabao sawa na mshambuliaji kinara, kufanya kazi yake ya kutengeneza mabao kwa assist 12 hivyo kuhusika katika mabao 29, tuzo ya fair play na kiungo bora wa msimu, kwa maoni yangu Saido alifaa zaidi ingawa naheshimu maamuzi ya kamati.
Rais wa TFF aliomba tuwakosoe ila tuangalie namna kwakuwa wao pia binadamu, ila nadhani hapa siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
My Take
Hivi sisi tunaweza nini. Mbona kila kitu hovyo hovyo tu.