Hii picha toka maktaba, ilipigwa alipofikisha 100 yrs.
Kuna watu waliekeza diet yake na mazoezi...kumbuka pia anatunzwa na Geshi....Ulinzi Menu matitabu 1st classHongera zake na Ukoo wake.
Miaka 100 haiji tu hivi hivi. Hongera.
Binafsi natamani kujua alikuwa anakula nini, Diet yake ikoje.
Nikusimulie🤣🤣 haya yeye amekaa kwenye wheelchair kashika fimbo kazungukwa na wanawake watanoPicha haifunguki, natamani kuona ila basi tu! JF imekuwaje?
Daaah🤣🤣Nikusimulie🤣🤣 haya yeye amekaa kwenye wheelchair kashika fimbo kazungukwa na wanawake watano