Chakochangu JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 2,668 Reaction score 2,164 Jan 6, 2020 #41 Dah! Nilikuwa nautafuta uzi wa mkuu Kichuguu , uliohusu vita ya Kagera nika kutana na huu wa kamanda mwenyewe Jenerali Tumainieli Kiwelu.
Dah! Nilikuwa nautafuta uzi wa mkuu Kichuguu , uliohusu vita ya Kagera nika kutana na huu wa kamanda mwenyewe Jenerali Tumainieli Kiwelu.
Lucas philipo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2017 Posts 2,039 Reaction score 2,676 Jan 6, 2020 #42 Mh Sent using Jamii Forums mobile app
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Nov 5, 2024 #43 ..yamefanyika makosa makubwa kuacha makamanda wakubwa wa Jwtz wafariki bila kuandika historia na mchango wa jeshi letu.
..yamefanyika makosa makubwa kuacha makamanda wakubwa wa Jwtz wafariki bila kuandika historia na mchango wa jeshi letu.
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Nov 5, 2024 #44 singidadodoma said: Hata pale Karagwe, tulikuwa na watu fulani pale ambao ni kanisa fulani sitaki kuwataja nao pia walikuwa na redio ya mawasiliano, ukiona utafikiri mtu anapiga kinanda kumbe anapeleka taarifa, Click to expand...
singidadodoma said: Hata pale Karagwe, tulikuwa na watu fulani pale ambao ni kanisa fulani sitaki kuwataja nao pia walikuwa na redio ya mawasiliano, ukiona utafikiri mtu anapiga kinanda kumbe anapeleka taarifa, Click to expand...
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Nov 5, 2024 #45 Teknocrat said: View attachment 3143750 Click to expand... Watu wa kanisani kavu sana
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Nov 5, 2024 #46 JokaKuu said: ..yamefanyika makosa makubwa kuacha makamanda wakubwa wa Jwtz wafariki bila kuandika historia na mchango wa jeshi letu. Click to expand... Taarifa zipo' ila jeshi letu na vyombo vya usalama hawana kawaida ya kuweka mambo hadharani
JokaKuu said: ..yamefanyika makosa makubwa kuacha makamanda wakubwa wa Jwtz wafariki bila kuandika historia na mchango wa jeshi letu. Click to expand... Taarifa zipo' ila jeshi letu na vyombo vya usalama hawana kawaida ya kuweka mambo hadharani