Dr Rutagwerera Sr JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 5,809 Reaction score 11,462 Dec 7, 2021 #241 Nyau ww utakua msukuma tu mmoja. Haya yasingetokea angekua Mwamunyange Sukuma mna roho mbaya sana Said Stuard Shily said: Mwekeni Lema au Mbowe awe mkuu wa Majeshi kama Mabeyo hatoshi Click to expand...
Nyau ww utakua msukuma tu mmoja. Haya yasingetokea angekua Mwamunyange Sukuma mna roho mbaya sana Said Stuard Shily said: Mwekeni Lema au Mbowe awe mkuu wa Majeshi kama Mabeyo hatoshi Click to expand...
I Izia maji JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 2,997 Reaction score 5,385 Dec 7, 2021 #242 Rutagwerera Sr said: Jeshi letu la ovyo hasa kwa askari wasio na vyeo. Ni takataka Click to expand... Kama askari wasio na vyeo ni takataka basi viongozi wao ni jalala kabisa!
Rutagwerera Sr said: Jeshi letu la ovyo hasa kwa askari wasio na vyeo. Ni takataka Click to expand... Kama askari wasio na vyeo ni takataka basi viongozi wao ni jalala kabisa!
K K.Msese JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 2,386 Reaction score 3,024 Dec 7, 2021 #243 tang'ana said: Sasa mtu mgonjwa wa akili utampa kazi gani? Click to expand... mpe tu haki yake kwa ajili ya familia yake, hilo tu ... embu jifikirie ww ukaumia kutokana na kazi, na kisha ukaja kufukuzwa kutokana na kuumia kwako na kisha haki yako usipewe....
tang'ana said: Sasa mtu mgonjwa wa akili utampa kazi gani? Click to expand... mpe tu haki yake kwa ajili ya familia yake, hilo tu ... embu jifikirie ww ukaumia kutokana na kazi, na kisha ukaja kufukuzwa kutokana na kuumia kwako na kisha haki yako usipewe....
K K.Msese JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 2,386 Reaction score 3,024 Dec 7, 2021 #244 nizakale said: Yaani ulichoandika hata hakieleweki. Click to expand... ukiona hivyo basi ujue mada haikuhusu ama imekuzidi kimo
nizakale said: Yaani ulichoandika hata hakieleweki. Click to expand... ukiona hivyo basi ujue mada haikuhusu ama imekuzidi kimo