Jenerali Muhoozi Kainerugaba atangaza mgogoro na Balozi wa Marekani, William Depp kwa kumdharau Rais Museveni

H

Hivi marekani kawapa nn mbona mnamahaba nae sana?
Ni kwa sababu mara nyingi hao wanaojitutumua hawana respect for human rights and good governance wao wenyewe. Hivyo, wakikosolewa tu wanaona ndiyo mwisho wa dunia.
 
Makosa ya balozi ni yapi?
 
Makosa ya balozi ni yapi?
Shida ilianzia kwenye mambo ya upinde, raisi akasema Yeye hajawahi ipangia US namna ya kutawala, kwanini US ipangie UG namna ya kutawala?. Au kwa sababu ya support ya US kwa UG?.
 
Hawa Wajinga ndio wa kumtisha Balozi wa Marekani! labda kama wanataka vifaru vianze kulipuka vyenyewe stoo
Utumwa wa fikra unakusumbua na usipochukua hatua mapema utazeeka nao, Uganda ni taifa huru Binamu.
 
Hawa Wajinga ndio wa kumtisha Balozi wa Marekani! labda kama wanataka vifaru vianze kulipuka vyenyewe stoo
Ilo toto ka Musevu ni kama kichaa. Alafu uwa akiandika kitu chenye mushkeri kwenye alaunti ya X uwa anafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…