Breki sina
Member
- Jun 3, 2013
- 96
- 32
Anasema ni hatari sana kwa jinsi ambavyo rasimu imependekeza kuhusu eneo la bahari ya hindi kuwa ni eneo la Zanzibar na Tanganyika wakati eneo la maji lina sheria zao kimataifa anahisi litaleta shida huko mbele ya safari kwa sababu baharini ikitokea kukawa na mafuta je huoni kutakuwa na mgongano ni nani amiliki raslimali hiyo,anadai kwa mujibu wa katiba ya 1977 eneo la muungano wa Tanzania ni eneo la maili 200 kwenye bahari kutoka Pemba hadi Unguja.