Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Mzee ulisema kuwa hakuna damu itakayomwagika katika uchaguzi huu. Lakini tokea wiki iliyopita pale watu wawili walipouwawa katika mapigano ya wana-CCM na wana-CHADEMA huko Njombe, bado hujatoa tamko wala sijasikia umechukua hatua yeyote.
Au ulimaanisha nini uliposema damu haitamwagika? Watu wanapigwa, mfano mgombea ubunge jimbo la Morogoro Kusini, Bw. Abeid Tembo alishambuliwa na mashabiki wa CCM na kumjeruhi, na alitokwa damu.
Mbona uko kimya? ...