Ulininukuu vibaya:hand::hand::hand:.Mzee ulisema kuwa hakuna damu itakayomwagika katika uchaguzi huu. Lakini tokea wiki iliyopita pale watu wawili walipouwawa katika mapigano ya wana-CCM na wana-CHADEMA huko Njombe, bado hujatoa tamko wala sijasikia umechukua hatua yeyote.
Au ulimaanisha nini uliposema damu haitamwagika? Watu wanapigwa, mfano mgombea ubunge jimbo la Morogoro Kusini, Bw. Abeid Tembo alishambuliwa na mashabiki wa CCM na kumjeruhi, na alitokwa damu.
Mbona uko kimya? ...
..and the story goes like that!Ulininukuu vibaya:hand::hand::hand:.
Sikumaanisha hivyo unavyotaka wewe iwe!
Eeerrr...nilikuwa nasema......... eeeeerrrr...i mean , of coz, this situation is......sio kama nilivyosema...nadhani unaelewa!