Alisema! na akaeleza jinsi alivyosaidia mpango wa ''HIPC' na alivyoweza kuongeza akiba ya nchi kutoka mwezi hadi mitano.Ila ulimwengu angetaja mazuri ya mkapa badala ya kudwel on the negatives only!
Mkapa aliamini utawala bora lakini wakati wake ndio alikodisha container terminal kwa hasara kubwa,NBC ikauzwa kwa hasara,ATC akagawia makaburu hadi leo tunalipa madeni.Mbona mapungufu yake hujsyaonyesha mkuu?!! Kiongozi wa siasa tena za kiafrika awe na mazuri tu?!! Never!!!! Kuna mambo ambayo mkapa aliyafanya hata baba wa taifa hakuyapenda, mfano kwenye ubinafushishaji wa mashirika ya umma!!! Mfano bank ya nbc, unajua kilichotokea?!! Kwenye migodi,
Kumhoji Ulimwengu kuhusu mazuri ya Mkapa ni sawa na Kumhoji Yusuph Manji kuhusu mazuri ya JPMDuh!
Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!
Nimesikiliza mpaka mwisho wa mahojiano na Jenerali amejibu kile alichoulizwa hasa kuhusu maoni yake.Hayo ni maoni yake na nakumbuka kuwa kwa kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kufanya mahojiano ya mwandishi wa habari mzawa.
Mimi binafsi kuna mazuri ambayo alifanya na mojawapo ni kujenga mifumo ya kiserikali,hii TRA tunayoiona leo,kisomo kwa watoto waliokosa nafasi (MEMKWA) na alimudu kudhibiti inflation kwa miaka yote kumi.
Pia aliweza kutoa pesa kwenye mifuko ya watu binafsi na kuirudisha serikalini kimya kimya (Enzi za Mwinyi pesa ilikuwa mifukoni mwa watu tena wengeine kwa ujanja ujanza).Ukiondoa ujeuri wa Kimakua naona alijitahidi sana kulijenga Taifa.Mengineyo alishatubu kwenye kitabu chake.
huyo mkapa ndo yule alitukana watanzania 2015 kuwa ni malofa na wapumbaf.? Iliniuma sanaDuh!
Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!
amejitoa akili anasifu na kuabuduAkampoka na uraia
Salama!Kaka za siku?
Umesema kweli. Ni unafiki tu unaendelea eti marehemu hasemwi mabaya yake!!!Alisema! na akaeleza jinsi alivyosaidia mpango wa ''HIPC' na alivyoweza kuongeza akiba ya nchi kutoka mwezi hadi mitano.
Jenerali alitendea haki maoni yake kwa kueleza pande zote.
Tuache unafiki wa kusema mAzuri tu, hata mabaya yasemwe.
Tunataka viongozi watambue hilo kwamba, siku wakiondoka tutawaeleza kwa abcd zao
Mbona Nyerere anapimwa na kuelezwa kwa mazuri na mabaya yake kila siku na hatusikii kelele.
Mwisho wa siku Nyerere anabaki kuwa Nyerere kama baba wa Taifa na 'statesman''
Ni statesman kwasababu aliutumia Urais wake vizuri, akiwa Ikulu na alipostaafu.
Hivi nani hakumbuki 1995 Nyerere aliposimama hadharani Jangwani na kukemea unyanyasaji wa Wapinzani!
Baada yake waliofuata wakiondoka Ikulu wanakuwa makada wa vyama kwa masilahi yao huku tukiwaita viongozi wastaafu wa kitaifa. Si kweli, hawa ni viongozi wastaafu Ikulu ambao ni makada kindaki ndaki wa CCM kwa masilahi yao na familia zao. Ukiwasikia wanasema ni kama yale ya Mwinyi ya kubadili katiba!
Rasimu ya Warioba ilipigwa chini, na hawa wastaafu walikaa kimyaaa!
Mkapa aliandika alitamani Tume huru akijificha nyuma ya kitabu. Hilo tusiseme!
Na kwamba eti kuna siku tutasahau Mwinyi kudai katiba ibadilishwe!
Aisee kumbe naye alikuwa mtata, Sasa lipumba mbona amekuja kuua Chama, walichokitolea jasho na damu, Hadi kugharimu maisha ya watu hivo!Aliua wana CUF, mpaka Lipumba akavunjwa mkono.
Mkapa alikuwa dicteta JPM bado sana.Aisee kumbe naye alikuwa mtata, Sasa lipumba mbona amekuja kuua Chama, walichokitolea jasho na damu, Hadi kugharimu maisha ya watu hivo!
Hatari Sana na huyu mzee alikuwa mkali anatukana hadharani matusi makubwa, nadhani magu ni mwanafunzi tu, Yani kupiga watu risasi Ila Bora aliomba msamaha kwa yaliyotokea alipokuwa Raisi nilikuwa mdogo Ila uchumi enzi zake ilikuwaga mzuri hata masilahi ya wafanyakazi yalikuwa Bora.Mkapa alikuwa dicteta JPM bado sana.
Zanzibar walipoandamana walipigwa risasi hadharani kabisa mchana kweupe watu walipanda mitumbwi kukimbilia mombasa kenya kukimbia kifo.
Msikiti wa mwembechai waislamu waliandamana , mkapa aliwavalisha wanajeshi sare za ffu, ebwana zilitembea risasi hatari sana.
Mshukuruni JK yeye mkiandamana mlikuwa mnapigwa virungu na kumwagiwa maji ya kuwasha.
Ila Mkapa alikuwa anaua
Mwaka 2000 kwenye kugombea urais zanzibar, kura za maoni aliongoza Amani Karume akifuatia na Dr . Bilal.Hatari Sana na huyu mzee alikuwa mkali anatukana hadharani matusi makubwa, nadhani magu ni mwanafunzi tu, Yani kupiga watu risasi Ila Bora aliomba msamaha kwa yaliyotokea alipokuwa Raisi nilikuwa mdogo Ila uchumi enzi zake ilikuwaga mzuri hata masilahi ya wafanyakazi yalikuwa Bora.
Kwangu Mimi Raisi ambaye alifanya watanzania waishi kwa raha na amani ni kikwete Uhuru wa kila Jambo ulikuwepo, upinzani ulistawi, hela nje nje, ajira ndo usiseme, sikuhizi hata Uhuru hamna wasiojulikana kila corner
Ohh!Mkapa ni Rais mzuri kama wengine, alijenga nidhamu kwenye serikali na kupunguza mfumuko wa bei!!
Mkapa aliondoa pesa nyingi kwenye mzunguko ili kuwatesa raia na kutaka wamtukuze kama ilivyo hulka ya baadhi ya watu wafupi! Mkapa aliharibu kabisa uchumi kupitia uwekezaji wa kukurupuka na hili ameandika mwenyewe anakiri kwenye kitabu chake!! kuna madai ya ufisadi pia yanamhusu kujimilikisha migodi sijui , huko serikalini wanamjua! Mkapa alikuwa mwizi wa mali ya umma kama wezi wengine tu!! lets call a spade a spade!!
ila Mkapa alichangia kufanya nchi kuwa masikini kupitia sera ya ujamaa, huyu alikuwa mjamaa kama Nyerere na Mkulu, i doubt if these excellencies understood/ understand what is ujamaa maana hata wazungu hawakuelewa falsafa ya Nyerere iliyofanya tubaki maskini hadi leo badala ya kuandika socialism wazungu waliacha ibaki Ujamaa!!
Mkapa Ni katika genge la viongozi lile lenye mawazo ya kikoloni mimi ninaloamini ni kikwazo cha maendeleo na litakwisha in 30 years na nchi hii itahamia CAPITALISM and english from chekechea to university na kupaa kiuchumi!!
Mkapa Ni mbaguzi wa kidini wa wazi na muumini wa mfumo kristo manake hata Waziri Mkuu aliweka mkristo mwenzake bila aibu kwa miaka kumi yote Mr Zero , Sumaye!
Mkapa hakuwahi kuwa kiongozi bali mtawala kama Karl Peters mwenye dharau kubwa kwa waandishi wa habari weusi na raia wake aliowaita ‘Malofa’ kwa kuwa alijua kuongea English kwa ufasaha!!
bongo ina mkosi sana ni nchi imeongozwa na watawala wengi kiongozi wa bongo tangu tupate uhuru ni mmoja tu Mkwere japo Magu ni mixed ( mtawala 50/50kiongozi) , Mkwere mtukane tani yako hana habari!!
By the way huyu mkoloni mweusi amekufa kwa ugonjwa gani? tuambieni wanaojua.
I am very sorry to repeat that common people na malofa hawakuweza kumsogelea Mkapa akiwa hai sasa watapita uwanjani kwake kwa misusuru na kumsimanga na kumwambia nyoo, kafiri mkubwa ulituona malofa amka sasa hapo ulipolala we si mbabe! wengine watasema kafiri mwingine kaenda!! wengine watasema Mzee now you are nothing and soon you will become manure!!
HII mambo ya wakristo haifai mtu akifa Kulazwa kwenye masanduku na kuanikwa kila mtu hata wasiokujua wakuone umekwisha umebadilika rangi kuwa kahawia na kuanza kuoza na kutoa harufu ya ajabu yafaa kuwa fundisho kwa viongozi wa juu waliobaki kutenda mema kwa nchi kama Magu maana na wao wataanikwa kama huyu labda wafe na Korona!!
mimi ni muslim nafurahi nikifa sitaanikwa kama hawa viongozi makafiri wanakandamiza waislam kwa mfumo kristo na kuishia kuanikwa uwanjani kama huyu, manake binadamu wengine wenye raha na utukufu na itifaki duniani huwa hawataki kufa sasa roho zao hutolewa kwa minyororo na ziraili sasa hufa kwa shida na kuiacha sura kubakia ya kutisha baada ya roho kutoka! haya Mkapa kapata nini sasa ameiacha dunia iliyomtukuza amekwenda mbele ya Allah na dhambi za kudhulumu waislam haki zao , kwa imani ya kiislam hukumu yake anayo Allah, kulu nafsi dhaalikatul maut.
I am building up a new tradition mtu mwenye mamlaka ya umma akifa kama hivi raia tusifiche machafu yao tuwatukane wafu hawa kwa kila baya walilofanya kwa raia masikini ili viongozi walio hai waone wafu wanatukanwa nao watutundee haki manake kifo na kuanikwa uwanjani watu wapite kuwakagua havikwepeki!!
Mungu amuweke mahali panapomstahili!!
Anayoyafanya huyu wa sasa kaiga kwa mentor wake maana yeye ndio mwanafunzi. Huyu sasa kwenye siasa aliletwa na Mkapa, mpaka alimkapenia, alivoingia bungeni akampiga na unaibu waziri, Kisha baadae akampiga uwaziri. Kwahio huyu nimwanafunzi tu anayoyafanya yote mshauri wake mkuu nihuyu ametangulia.Aisee kumbe naye alikuwa mtata, Sasa lipumba mbona amekuja kuua Chama, walichokitolea jasho na damu, Hadi kugharimu maisha ya watu hivo!
Hivi kwa nini mtu akitoa maoni yake, kwa upeo wake, watu badala ya kuchambua hoja wanakimbilia kusema immaturity na chuki?Jenerali kaonyesha immaturity kubwa kwenye hii Interview.
Mkapa kipindi cha utawala wake Alidhibiti mfumuko wa bei, hata nauli ya daladala ilibaki shilingi 150 kwa muda mrefu sana kwenye utawala wake
Alipandisha kipato cha mtanzania kutoka dola 170 kwa mtu hadi 500 kwa mtu kwa mwaka.
Alijenga Taasisi imara, TCU, NHIF, NSSF, TANROADS, LOANSBOARD.
Alikuwa na Programmes za maendeleo kama vile MKUKUTA, Mkakati wa kuondoa umasikini Tanzania, MMEM Mpango wa Elimu ya Msingi, MEMKWA, MKURABITA
Ni Mkapa ndiye aliyewaita wenye magazeti ya Mwananchi na The Citizens waje wawekeze Tanzania
Ni Mkapa ndiye aliyeanzisha TV ya Taifa (TBC1)
Ni Mkapa ndiye aliyetujengea uwanja bora kabisa na wa kisasa wa mpira hapa Dar
Pia alikuwa Jasiri kukiri makosa na kurekebisha, Serikali yake ilipounda Bodi ya Parole na kuweka wakiristo watupu, alikuwa wa kwanza kuona tatizo na immediately kuamua kuivunja na kuiunda upya.
Mitihani ya kidato cha nne ilipovuja kama njugu mwaka 1998, Aliifuta mitihani na kuleta mingine.
Waislamu walipolalamika kuwa hawajanufaika ipasavyo na matunda ya uhuru katika elimu, aliwapa majengo ya Tanesco wajenge chuo chao lakini wakati huohuo pia akabalance kwa kuwarudishia makanisa baadhi ya shule zao zilizochukuliwa na Nyerere
Sasa Jenerali Ulimwengu asilete chuki zake binafsi kwenye msiba wa mzee wetu.
Na kabla ya kuwa rais, Benjamin Mkapa alifanya kazi nzuri sana kama waziri wa. mambo ya nje kipindi cha Vita vya Kagera na pia alifanya kazi nzuri sana kwenye ukombozi wa kusini mwa Afrika
Mzee Mkapa katutoa mbali, Jenerali akae na chuki zake lakini tunayo rekodi nzuri ya kutukuka ya mzee wetu
Nampa pole Sana mheshimiwa maana ni msiba mzito kwake wametoka mbali Sana, pole Sana kwakeAnayoyafanya huyu wa sasa kaiga kwa mentor wake maana yeye ndio mwanafunzi. Huyu sasa kwenye siasa aliletwa na Mkapa, mpaka alimkapenia, alivoingia bungeni akampiga na unaibu waziri, Kisha baadae akampiga uwaziri. Kwahio huyu nimwanafunzi tu anayoyafanya yote mshauri wake mkuu nihuyu ametangulia.