Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

Wewe ulitaka ajibu kama wewe? Yeye kajibu anayoyajua nawe jibu kwa unayoyajua,,au ulitaka apake mafuta kisichompendeza?chuki nadhani unaweza kuwa nayo wewe!!
 
Woote wafe lakini naomba sana Mzee Kikwete Baba, rafiki yangu usife! airisha kwanza!
kuna kamti fulani wachawi tunakatumia sana kuongezea maisha marefu, naamini wachawi woote pale mlipo mkatafute mmpatie huyu mzee, aishi. yaani tukisha kufa wote tunaompenda JMK, ndiyo na yeye afe sasa. hakuna wa kupinga hili!

Poleni watanzania kwa Msiba.
 
Hivi kwa nini mtu akitoa maoni yake, kwa upeo wake, watu badala ya kuchambua hoja wanakimbilia kusema immaturity na chuki?

Jenerali is probably the most mature journalist in Tanzania right now.
Jenerali Ulimwengu anajitambua.The truth will set you free.
 
EAC yeye ndiye aliyeikomalia kuhakikisha inarejea, TRA, mtandao wa barabara za rami nchi nzima, Memkwa, kuchangia elimu ya juu nk.
 
Jenerali ana chuki binafsi tu.

Ukilinganisha na pale nchi alipoikuta mwaka 1995, BWM aliiacha nchi katika hali nafuu zaidi mwaka 2005

Makosa mengine ni makosa ya kibinadamu tu
Generali ansahau kutumbia jinsi alivyofanya kazi ya kuongoza Kampani ktk uchaguzi ule wa kusisimua!
Ukimyaa huu inaweza ukatupa kiini Cha ugomvi wao...wake
!
 
Bado hujasema amekosea wapi. Na kama kweli BWM alitumia nafasi yake kumnyoosha baada ya kuandika makala ambayo hayakumfurahisha basi ana haki kuwa na chuki nae. Na kwa kufanya hivyo inathibitisha alichokisema Jenerali kuwa hakuwa rafiki wa media huru. Ni kweli kuwa Jenerali amejikita kwenye mapungufu ambayo yeye aliyaona katika utendaji wa marehemu. Vile vile ni kweli wewe umejikita katika kuonyesha mafanikio ya marehemu. Kwa kufanya hivyo wote mmefanya watu wengine tumuelewe zaidi marehemu na kuthibitisha kile ambacho yeye mwenyewe alisisitiza, kuwa yeye ni binadamu na alikuwa hajakamilika. Kukataa awe criticized ni kwenda kinyume na matakwa yake yeye mwenyewe.

Amandla...
 
Unajua sababu za ugomvi wao?
Ulimwengu ana wivu na hasira juu ya Mkapa.
Kama hujui sema tukujuze
Sina cha kukuuliza maana tayari umeshasema Amani Karume alitaka kuongeza miaka ya kutawala zaidi ya ile 10 na alichukua form kabisa wkt hakuwahi hata kuchukua form.

So mpk hapo naona we mwenyewe unahadithiwa tu/stories.
 
Sina cha kukuuliza maana tayari umeshasema Amani Karume alitaka kuongeza miaka ya kutawala zaidi ya ile 10 na alichukua form kabisa wkt hakuwahi hata kuchukua form.

So mpk hapo naona we mwenyewe unahadithiwa tu/stories.
Amani aligombea mara 2 mbona kichwa chako kizito
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…