Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

Aliunda TISS hii ya kisasa ambayo kszi yake ni kukusanya taarifa na kuzianalyse na kupendekeza action, kabla ya hapo hao jamaa wa Usalama wa Taifa nao walikuwa wakikamata watu etc.
Kiufupi alisaidia kuiweka breki hii taasisi isiumize watu hovyo
Okay mbona Zakaria kataka kutekwa au kukamatwa na hao Jamaa ( waaiojulikana)
 
Sijamsikia kabisa Jenerali Ulimwengu kwenye msiba huu wa JPM.
 
mkuu hapa uliwadanganya wenzio. television ya taifa ilikuwepo toka wakati wa nyerere na hyo the citizen ilikuwepo hata kabla ya mkapa
 
Duh!

Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!

Huyu jamaa hajawahi kupikika chungu kimoja na marais wote wa Tz walioleta maendeleo ya kweli Tz! Hakupikika chungu moja na JK Nyerere, hakupikika chungu kimoja na Mkapa, na wala hakupikika chungu moja na JPM!
 
Asante..Sasa nazidi kumuelewa ulimwengu ni mtu wa namna gani...hovyo kabisa huyu.
 
Huyu jamaa hajawahi kupikika chungu kimoja na marais wote wa Tz walioleta maendeleo ya kweli Tz! Hakupikika chungu moja na JK Nyerere, hakupikika chungu kimoja na Mkapa, na wala hakupikika chungu moja na JPM!
JPM ALILETA MAENDELEO AU UMASKINI WA KUTISHA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…