Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
JPM enzi za RAI si ndio walimlipua pia Nyumba zile ? Labda sasaHivi Generali anaiva na nani?
Jakaya aliiva naye siku chache sana za mwanzonimwanzoni mwa utawala wake.
Labda JPM anaiva nae.
Hata Mwinyi tuna hasira nae sana!aliuza Loliondo kwa waarabu hadi leo ni shida tupu!Kiukweli alichotufanyia huku Pemba, hatuwezi kumsamehe, Nina imani Pilato anasubiri roho yake kwa hamu
Hata hapo kajitahidi mimi ningekua na 95% negative to Mkapafor 15 yrs now he has been critic to Big Ben kila aandikapo makala ama platform....Lakini kweli apart from his ups n down against Mkapa anakuwaje na 80% negative on Mkapa
Duh! Huyu ndiyo kabisaaa, ni heri na Mkapa tena.Hivi Generali anaiva na nani?
Jakaya aliiva naye siku chache sana za mwanzonimwanzoni mwa utawala wake.
Labda JPM anaiva nae.
Mkapa hakuwahi kufanya mahojiano na mwandishi mzawa? Alikuwa anawadharau waandishi wa nchini kiasi hicho?
Sio nusu amvue, Bali alimvua na akaomba ule wa makaratasi, kwa sasa Ulimwengu sio raia wa kuzaliwaHahahaha, nusu amvue uraia
Jenerali sio mnafiki..Jenerali inaonekana bado ana hasira za kunyang'anywa uraia na kunyimwa uwaziri wa habari na utangazaji!
Hakuna binadamu asie na kasoro .. mtu akifa tunatoa sifa njema, tunaondoa vinyongo banaa
NdioMkapa hakuwahi kufanya mahojiano na mwandishi mzawa? Alikuwa anawadharau waandishi wa nchini kiasi hicho?
Akampoka na uraiaAlimtesa Jamaa Sana
Umewahi kupata msukosuko wowote na wenye Mamlaka au unaongea tu! chukulia mfano mtu kama LISU aliyotendewa kisha akiulizwa habari ya watawala wa leo ajibu vzr..... kuepuka haya watu tuishi kwa kuheshimiana bila kujali vyeofor 15 yrs now he has been critic to Big Ben kila aandikapo makala ama platform....Lakini kweli apart from his ups n down against Mkapa anakuwaje na 80% negative on Mkapa
...inawezekana ni wajenzi huru hao-wanajuana !for 15 yrs now he has been critic to Big Ben kila aandikapo makala ama platform....Lakini kweli apart from his ups n down against Mkapa anakuwaje na 80% negative on Mkapa
Kuna cha uongo ama uzushi katika alichokisema Jenerali?Jenerali kaonyesha immaturity kubwa kwenye hii Interview.
Mkapa alijenga taasisi Imara nyingi tu za nchi yetu
Alidhibiti mfumuko wa bei.
Alipandisha kipato cha mtanzania kutoka dola 170 kwa mtu hadi 500 kwa mtu kwa mwaka
Alijenga Taasisi imara, TCU, NHIF, NSSF, TANROADS, LOANSBOARD.
Alikuwa na Programmes za maendeleo kama vile MKUKUTA, Mkakati wa kuondoa umasikini Tanzania, MMEM Mpango wa Elimu ya Msingi, MEMKWA, MKURABITA
Ni Mkapa ndiye aliyewaita wenye magazeti ya Mwananchi na The Citizens waje wawekeze Tanzania
Ni Mkapa ndiye aliyeanzisha TV ya Taifa (TBC1)
Ni Mkapa ndiye aliyetujengea uwanja bora kabisa na wa kisasa wa mpira hapa Dar
Pia alikuwa Jasiri kukiri makosa na kurekebisha, Serikali yake ilipounda Bodi ya Parole na kuweka wakiristo watupu, alikuwa wa kwanza kuona tatizo na immediately kuamua kuivunja na kuiunda upya.
Mitihani ya kidato cha nne ilipovuja kama njugu mwaka 1998, Aliifuta mitihani na kuleta mingine.
Waislamu walipolalamika kuwa hawajanufaika ipasavyo na matunda ya uhuru katika elimu, aliwapa majengo ya Tanesco wajenge chuo chao lakini wakati huohuo pia akabalance kwa kuwarudishia makanisa baadhi ya shule zao zilizochukuliwa na Nyerere
Sasa Jenerali Ulimwengu asilete chuki zake binafsi kwenye msiba wa mzee wetu.
Na kabla ya kuwa rais, Benjamin Mkapa alifanya kazi nzuri sana kama waziri wa. mambo ya nje kipindi cha Vita vya Kagera na pia alifanya kazi nzuri sana kwenye ukombozi wa kusini mwa Afrika
Mzee Mkapa katutoa mbali, Jenerali akae na chuki zake lakini tunayo rekodi nzuri ya kutukuka ya mzee wetu