Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

Mkapa katengeneza mambo ya kipuuzi, mpaka sasa CCM wanaendelea kutumia uraia kama fimbo kwa wakosoaji wake.

Latest Victims.

- Askofu Kakobe
- Askofu Niwemugizi
- Aidan Eyakuze
- Eric Kabendera
Sasa Kama kweli siyo raia what is the problem?! USA ukikosoa utawala na Kama siyo raia unakuwa deported..
 

Kwa Kikwete nitauma sana...

Naomba Mungu ampe maisha marefu...
 
Ulimwengu angeweza kugeuzia bunduki yake kwa magu ingekuwa raha sana.
Jamaa huwa hana unafiq
Huyu jamaa ndio anatakiwa kuitwa JIWE
Ulimwengu is being harsh unnecessary.
Kiukweli alichotufanyia huku Pemba, hatuwezi kumsamehe, Nina imani Pilato anasubiri roho yake kwa hamu
Ukweli mtupu bila kupindisha.
for 15 yrs now he has been critic to Big Ben kila aandikapo makala ama platform....Lakini kweli apart from his ups n down against Mkapa anakuwaje na 80% negative on Mkapa
 
...unafikiri kwa muda mfupi aliopewa kuhojiwa angeweza kueleza hayo yoote uliyoyasema hapo ?!

Kapata mafasi ya kutapika negatives za kipuuzi kaacha mambo positive na ya msingi zaidi ambayo BWM aliifanyia nchi hii, hii inaonyesha Jenerali kajaa chuki dhidi ya Mkapa kwa sababu Mkapa alimnyoosha.

Sikiliza ndugu, Jenerali alizoea kutema mbovu kwa Mwinyi, kwa kuandika machapisho yasiyo na heshima kwa Mwinyi lakini mzee Mwinyi hakumfanya kitu, alimuacha tu.

Nakumbuka miaka miiingi sana baadae Jenerali aliandika makala ya kuomba msamaha kwa Mwinyi kutokana na uandishi huo

Kipindi cha utawala wa BWM, aliingia anga za BWM, akaamua kumnyoosha, ndiyo sababu ya chuki yake kali kwa huyo mzee
 
Urais ni jambo la hiari. Hakuna anayelazimishwa.

Kama ukikosolewa unaua watu USIGOMBEE. Hakuna ulazima.

Wananchi wanakutaka utatue "Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa" wewe unakuwa busy kupambana na kina Ulimwengu.

Uchaguzi 2020 - Kuelekea Uchaguzi: Tafadhali wale wanasiasa wote ambao hampendi, mnateseka sana mkikosolewa au mnahisi kuvunjiwa heshima mnapokosolewa, Msigombee!
 
Ulimwengu kasema kweli hapo kwenye ubinafisishaji. Angalia Tanesco na wale wa South nimesahau jina lao. Board ya mikopo mpaka leo ni uozo tu.Binafsi natafuta la kumkumbuka Mkapa lililo zuri wala sioni zaidi ya Yeye na Koffi Anan kusaidia Raila Odinga na Kibaki wakaelewana kwa kuanzishwa cheo cha waziri mkuu kwa term moja.
 
Ulimwengu ameamua kuweka unafiki pembeni na kusema anachokijua yeye. Marehemu alikuwa mdhibiti wa vyombo vya habari na mara nyingi alikuwa akiwashambulia waandishi wa habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…