Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Tanesco = Net Group solutionsUlimwengu kasema kweli hapo kwenye ubinafisishaji. Angalia Tanesco na wale wa South nimesahau jina lao. Board ya mikopo mpaka leo ni uozo tu.Binafsi natafuta la kumkumbuka Mkapa lililo zuri wala sioni zaidi ya Yeye na Koffi Anan kusaidia Raila Odinga na Kibaki wakaelewana kwa kuanzishwa cheo cha waziri mkuu kwa term moja.
Huwa anajilambalamba tu hajawahi kumfyatulia magu moja kwa moja na pia nimemsikia mara kadhaa akisifia sifia tu kwa mafumbo.Mara ngapi ameongea!? Je, unahudhuria/tazama makongamano mbalimbali yanatomuhusu!?
Au unaropokwa hapo kwenu kongwa!!
Huo ndio muono wake ww unataka kama hambo analiona jema aseme baya!?Huwa anajilambalamba tu hajawahi kumfyatulia magu moja kwa moja na pia nimemsikia mara kadhaa akisifia sifia tu kwa mafumbo.
Hata wewe maelezo yako Ni one sided hujaelezea upande wa pili wa mkapamaelezo yake ni one sided, not verifiable
Asante kwa kukumbusha ,Net group solutions sijui waliishia wapi. Nakumbuka mkapa Alienda Buzwagi akapewa bonge dhahabu na kwenye tv tukaona. Mambo ya kampuni za kuchimba dhahabu ndo kipindi cha Mkapa. Resolute wametuachia mashimo tu pale Nzega.Tanesco = Net Group solutions
Hivi Air Tanzania na South Africa Airways haukua kipindi chake?
Ulimwengu kasema kweli hapo kwenye ubinafisishaji. Angalia Tanesco na wale wa South nimesahau jina lao. Board ya mikopo mpaka leo ni uozo tu.Binafsi natafuta la kumkumbuka Mkapa lililo zuri wala sioni zaidi ya Yeye na Koffi Anan kusaidia Raila Odinga na Kibaki wakaelewana kwa kuanzishwa cheo cha waziri mkuu kwa term moja.
Haina shida, hata mimi nimesema ukweli kuwa alinyang'anywa uraia! Kila mtu anafahamu ni kweliJenerali sio mnafiki..
Anasema ukweli na haya ni maoni yake..
Kwanini amsifie akiwa amekufa sembuse akiwa hai hajawahi kumsifia na wakati hizo sifa yeye hazioni..?!
KUDOS Jenerali Twaha Ulimwengu.
Ni raisi pekee,kama sio ktk nchi za Afrika,aliyeweza kukusanya mapato,na kuanza kulipa madeni ya nje,ya world bank,na IMF,Nimesikiliza mpaka mwisho wa mahojiano na Jenerali amejibu kile alichoulizwa hasa kuhusu maoni yake.Hayo ni maoni yake na nakumbuka kuwa kwa kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kufanya mahojiano ya mwandishi wa habari mzawa.
Mimi binafsi kuna mazuri ambayo alifanya na mojawapo ni kujenga mifumo ya kiserikali,hii TRA tunayoiona leo,kisomo kwa watoto waliokosa nafasi (MEMKWA) na alimudu kudhibiti inflation kwa miaka yote kumi.Pia aliweza kutoa pesa kwenye mifuko ya watu binafsi na kuirudisha serikalini kimya kimya (Enzi za Mwinyi pesa ilikuwa mifukoni mwa watu tena wengeine kwa ujanja ujanza).Ukiondoa ujeuri wa Kimakua naona alijitahidi sana kulijenga Taifa.Mengineyo alishatubu kwenye kitabu chake.
Kwani kikwete waziri mkuu wake alikua ni dini gani? Nyerere kwani hajawai weka akina warioba kuwa mawaziri wakuu wake ambao ni wakristu,.ni Rais mzuri kama wengine, alijenga nidhamu kwenye serikali, aliharibu uchumi kupitia uwekezaji wa kukurupuka hili ameandika mwenyewe anakiri kwenye kitabu chake!!
ila Mkapa alichangia kufanya nchi kuwa masikini kupitia sera ya ujamaa, huyu alikuwa mjamaa kama Nyerere na Mkulu, i doubt if these excellencies understood/ understand what is ujamaa maana hata wazungu hawakuelewa falsafa ya Nyerere badala ya kuandika socialism wazungu waliacha ibaki Ujamaa!!
Mkapa Ni katika genge la viongozi lile lenye mawazo ya kikoloni mimi ninaloamini ni kikwazo cha maendeleo na litakwisha in 30 years na nchi hii itahamia CAPITALIS and english from chekechea to university na kupaa kiuchumi!!
Mkapa Ni mbaguzi wa kidini wa wazi manake hata Waziri Mkuu aliweka mkristo mwenzake!!
By the way amekufa kwa ugonjwa gani? tuambieni wanaojua.
Mungu amuweke mahali panapomstahili!!
Hahahaha, Mkuu watu wakiamua kukusema watasema tu1. TCU
2. NSSF
3. Uwanja wa mpira wa Taifa
4. Ofisi za Umma kuanza kuwa na hadhi
5. Mpango wa Elimu ya msingi MMEM
6. Mpango wa kupunguza umasikini MKUKUTA
7. Mpango wa kurasimisha biashara MKURABITA
8. Wakala wa Barabara TANROADS
9. Kusamehewa Madeni
10. MEMKWA
11. Kupandisha pato la Mtanzania kutoka dola 170 mwaka 1995 hadi dola 500 mwaka 2005 kwa mwaka (Ongezeko la Gross National Income per Capita)
12. TBC
13. Kuboresha huduma za Afya za hospitali xa serikali
14. Kuongeza shule za sekondari nchini mifano michache ni kama vile shule ya Kambangwa na Benjamin Mkapa Dar
15. VAT
16. NHIF
Mkapa alijenga Taasisi ambazo hadi leo tunanufaika nazo
Uyu mzee ni mnafiki Sana, na roho mbaya yake itakuja muumiza..Duh!
Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!
Anajiona yy malaika, hama aibuUlimwengu is being harsh unnecessary.
Hahahaha, Mkuu watu wakiamua kukusema watasema tu
Akijaribu kanamtafuna na hilo analijua ,labda anavizia Magu amalize utumishi wa ummaHuwa anajilambalamba tu hajawahi kumfyatulia magu moja kwa moja na pia nimemsikia mara kadhaa akisifia sifia tu kwa mafumbo.
Jamaa aliambiwa eti ni mnyarwanda....Alimtesa Jamaa Sana
Wewe huna maana naona unaongelea udini na hata tofauti ya ubepari na yjamaa huijui.Ni Rais mzuri kama wengine, alijenga nidhamu kwenye serikali, aliharibu uchumi kupitia uwekezaji wa kukurupuka hili ameandika mwenyewe anakiri kwenye kitabu chake!!
ila Mkapa alichangia kufanya nchi kuwa masikini kupitia sera ya ujamaa, huyu alikuwa mjamaa kama Nyerere na Mkulu, i doubt if these excellencies understood/ understand what is ujamaa maana hata wazungu hawakuelewa falsafa ya Nyerere badala ya kuandika socialism wazungu waliacha ibaki Ujamaa!!
Mkapa Ni katika genge la viongozi lile lenye mawazo ya kikoloni mimi ninaloamini ni kikwazo cha maendeleo na litakwisha in 30 years na nchi hii itahamia CAPITALIS and english from chekechea to university na kupaa kiuchumi!!
Mkapa Ni mbaguzi wa kidini wa wazi manake hata Waziri Mkuu aliweka mkristo mwenzake!!
By the way amekufa kwa ugonjwa gani? tuambieni wanaojua.
Mungu amuweke mahali panapomstahili!!
Ukiwa na akili wajinga lazima watumie nguvu kujibu hoja zako...Uzuri wa Jenerali huwa hakwepeshi wala kuremba
Ni Rais mzuri kama wengine, alijenga nidhamu kwenye serikali, aliharibu uchumi kupitia uwekezaji wa kukurupuka hili ameandika mwenyewe anakiri kwenye kitabu chake!!