Mkuu nchi yetu bado ni koloni la Tanganyika kiukweli hatujawahi kuwa na rais zaidi ya nyampara linalosubiri maelekezo kutoka kwa malkia Elizabeth wa Tanganyikanyie wapemba acheni kulia lia,kwani mkapa alikuwa rais wa Zanzibar ? ,kosa ni lenu ,kwani rais wenu alikua na kazi gani ?
1. TCU
2. NSSF
3. Uwanja wa mpira wa Taifa
4. Ofisi za Umma kuanza kuwa na hadhi
5. Mpango wa Elimu ya msingi MMEM
6. Mpango wa kupunguza umasikini MKUKUTA
7. Mpango wa kurasimisha biashara MKURABITA
8. Wakala wa Barabara TANROADS
9. Kusamehewa Madeni
10. MEMKWA
11. Kupandisha pato la Mtanzania kutoka dola 170 mwaka 1995 hadi dola 500 mwaka 2005 kwa mwaka (Ongezeko la Gross National Income per Capita)
12. TBC
13. Kuboresha huduma za Afya za hospitali za serikali
14. Kuongeza shule za sekondari nchini mifano michache ni kama vile shule ya Kambangwa na Benjamin Mkapa Dar
15. VAT
16. NHIF
17. Daraja la Mkapa la Mto Rufiji
18. Aliacha Hazina iliyonona
Mkapa alijenga Taasisi ambazo hadi leo tunanufaika nazo
Hivi Generali anaiva na nani?
Jakaya aliiva naye siku chache sana za mwanzonimwanzoni mwa utawala wake.
Labda JPM anaiva nae.
Anaishi hapahapa Bongo na anafahamu mipaka yake ya kuongea na kutumia freedom of speech.
Straight Talk Jenerali, Safi sana😀Duh!
Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!
Nyongeza...
Hayati Benjamin W Mkapa ndo mfadhili pekee (sponsor) wa idara ya usalama wa Taifa aliyeiweka taasisi hii kisheria...
Mwaka 1996 alisaini sheria inayoainisha majukumu na mipaka ya usalama wa taifa (UWT) kabla taasisi hii ilikua inaiendeshwa kwa mfumo wa taasisi ya kufikirika...
Sawa...wewe unajua zaidi...hongeraHujui Unachozungumza.
Rekodi ya kutukuka...!!¿Jenerali kaonyesha immaturity kubwa kwenye hii Interview.
Mkapa kipindi cha utawala wake Alidhibiti mfumuko wa bei, hata nauli ya daladala ilibaki shilingi 150 kwa muda mrefu sana kwenye utawala wake
Alipandisha kipato cha mtanzania kutoka dola 170 kwa mtu hadi 500 kwa mtu kwa mwaka.
Alijenga Taasisi imara, TCU, NHIF, NSSF, TANROADS, LOANSBOARD.
Alikuwa na Programmes za maendeleo kama vile MKUKUTA, Mkakati wa kuondoa umasikini Tanzania, MMEM Mpango wa Elimu ya Msingi, MEMKWA, MKURABITA
Ni Mkapa ndiye aliyewaita wenye magazeti ya Mwananchi na The Citizens waje wawekeze Tanzania
Ni Mkapa ndiye aliyeanzisha TV ya Taifa (TBC1)
Ni Mkapa ndiye aliyetujengea uwanja bora kabisa na wa kisasa wa mpira hapa Dar
Pia alikuwa Jasiri kukiri makosa na kurekebisha, Serikali yake ilipounda Bodi ya Parole na kuweka wakiristo watupu, alikuwa wa kwanza kuona tatizo na immediately kuamua kuivunja na kuiunda upya.
Mitihani ya kidato cha nne ilipovuja kama njugu mwaka 1998, Aliifuta mitihani na kuleta mingine.
Waislamu walipolalamika kuwa hawajanufaika ipasavyo na matunda ya uhuru katika elimu, aliwapa majengo ya Tanesco wajenge chuo chao lakini wakati huohuo pia akabalance kwa kuwarudishia makanisa baadhi ya shule zao zilizochukuliwa na Nyerere
Sasa Jenerali Ulimwengu asilete chuki zake binafsi kwenye msiba wa mzee wetu.
Na kabla ya kuwa rais, Benjamin Mkapa alifanya kazi nzuri sana kama waziri wa. mambo ya nje kipindi cha Vita vya Kagera na pia alifanya kazi nzuri sana kwenye ukombozi wa kusini mwa Afrika
Mzee Mkapa katutoa mbali, Jenerali akae na chuki zake lakini tunayo rekodi nzuri ya kutukuka ya mzee wetu
Januari 26-27 2001Rest in peace babu nkapa hakika wapemba tutakukumbuka kwa kazi nzuri uliyofanya ya kuua ndugu zetu 2001
Hapendi Ujinga, ana mawazo ya kiuwanazuoni, lazima use critical siyo kusifiasifia tu hata upuuziHivi Generali anaiva na nani?
Jakaya aliiva naye siku chache sana za mwanzonimwanzoni mwa utawala wake.
Labda JPM anaiva nae.
Alikiri makosa na kuomba msamaha.Rest in peace babu nkapa hakika wapemba tutakukumbuka kwa kazi nzuri uliyofanya ya kuua ndugu zetu 2001
Humwelewi, Huyu ni mwanazuoni wa kaliba ya akina Issa Shivji, akina Museveni, Walter Rodney na Mkapa mwenyewe and etc. anajua anachosema, anaona tunavyoongozwa Sasa haikubaliki tunachezewa tu kama Wanasesere...akina Prof.Mukandala wanamwelewa, na Mkapa mwenyewe akiwa hai angemsikiliza na wangebishana kwa hoja za kisomi...Ulimwengu ni kati ya watu muhimu sana hasa kwenye sector ya habari, tatizo ana chuki kubwa sana na walio madarakani, huwa nahisi kuna vitu personal vinaendelea kati yao ambavyo hatuvijui.
Aliwaita wanahabari wa Tanzania ni makanjanja.Yes,kama kumbukumbu zangu ni sawa.
JWTaasisi Imara Tanzania ni Ipi ?
Jpm anaambilika ?Ni raisi pekee,kama sio ktk nchi za Afrika,aliyeweza kukusanya mapato,na kuanza kulipa madeni ya nje,ya world bank,na IMF,
Ila alikuwa haambiriki,ubinafsishaji,aliingiza nchi chaka