PreGE2025 Jenerali Ulimwengu - no reforms no election 2025 wana madai ya msingi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Rais Samia akitwaa urais utakua na janaba kwelikweli jvi atapata na confidence kbsa ya kusimama kusema yy rais..uraisi wa aibu haijawai kutokea..
Na ajue tyr wananchi tuna scars haitojifuta hata vutukuu vyetu vitakuja kulipa
 
Mtaandika nyuzi nyingi za kijinga, mtafanya maandamano na mtagomea uchaguzi humuhumu JF ila nje kwenye mitaa hakuna mambo haya.

Samia anapiga kazi na wananchi watampima kwa kazi zake.

Mitano tena
Wewe endelea kuishi kwa shemeji ako maana huna akili hata ya kulipa kodi room moja
 
Mwaka huu chama dola kongwe kimekabwa kila kona na No Reforms No Election 2025
 
Logical truth= comformity between what is in your mind and what you speak or write.

Aisee kama vinakinzana hivi(no comformity) nikuikatili vibaya nafsi na akili yako mwenyewe😁

The object of the mind is truth always 🀣
"Logical truth = conformity between what is in your mind and what you speak or write" ni idea nzuri lakini haijakaa kitaalamu kabisa. Inaelekea kuelezea ukweli wa ndani β€” kusema kile unachoamini β€” lakini haimaanishi "logical truth" kihalisia.

Kwa logic ya kitaalamu, β€œlogical truth” ni ile statement ambayo ni kweli kila mara, bila kujali hali ya dunia. Mfano, β€œKama wote ni binadamu, na John ni binadamu, basi John ni binadamu” β€” hiyo ni logical truth kwa sababu inatokana na structure yake, sio kwa sababu mtu anaiamini au la
 
wakayadai ubeligiji walikopewa makazi zilipo familia zao πŸ’
 
Tanzania ina mimba kubwa, inakaribia kujifungua. AMEN.
 
Nasoma comments
 
Msajili alkifute chadema kwa uasi. Chama kinatangaza hadharani kwamba kitafanya UASI na msajili anakichekea tu.
Kifutwe fasta. Hatutaki mambo kama yale ya HAMAS nchini mwetu.
 

15 April 2025

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Wakili Nshala Akosoa Hoja Ya Tume: 'Wamejielekeza Vibaya'​



View: https://m.youtube.com/watch?v=CL_Or173x_o
Dk. Rugemeleza Albert Kamuhabwa Nshala mwanasheria mkuu wa CHADEMA akiongea katika press conference leo ....

Kama mtu anaelewa kifungu cha 162 cha sheria ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kinaipa Tume (Tume Huru INEC) ...​

 
Namuomba Mungu Samia afe kabla ya uchaguzi ili watz tupumue tena kama kwa shetani jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…