Jenerali Ulimwengu: Sioni ajabu mapinduzi ya kijeshi Guinea. Yatafika haraka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

Akisema Generali wewe ni Copro ukapinga😅😅
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hakuna mapinduzi yanayopangwa na kuratibiwa vizuri, ni maonevu kwa kwenda mbele wala tusijidanganye.

Na wanajeshi wakichukua ndiyo mbaya zaidi, hata wakimuweka raia kutawala, anakuwa controlled na remote tu na wanajeshi.
Mapinduzi ya kijeshi huwa yanawaathiri wachache wanaofaidi utawala kwa kulamba asali ila wapambanaji wengi hayawezi kuwaathiri.
Leo mafuta yamepandishwa ghafla ongezeko la 400 kwa Lita,nalazimika kuongeza sh 500 ya nauli kutoka 1000 hadi 1500 kwenda kazini.Kwenda na kurudi sh 3000 badala ya 2000 na hapa ndiyo demokrasia mnayoisema.
Mapinduzi hayawezi kuruhusu wahuni kujipangia bei za mafuta ili kuumiza watu wa chini
 
Nchi inayofuata ni Zimbabwe, wamechoka na Zanu PF
 
Katika hili namuunga mkono
 
Aliona mbali
 
Na tayari wimbi la mapinduzi ndo hiyo!!!!!!! Kama moto wa nyika huko frankofoniiii
 
Mapinduzi ya kijeshi huwa yanawaathiri wachache wanaofaidi utawala kwa kulamba asali ila wapambanaji wengi hayawezi kuwaathiri.
usijidangaye kijana, hebu angalia mifano ya nchi za afrika magharibi (Nigeria, Ghana, Ivory Coast.....) wao ni mapinduzi kwa kwenda mbele kila leo lakini wamefikia wapi? Kila mkuu wa jeshi anayetawala anachota chake yeye na ndugu zake na wakimchoka wanamuondoa na mzunguko unarudi tena pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…