Jenerali Ulimwengu: Wazalendo wote wanatakiwa kumuunga mkono Rais Samia

As an old adage goes, ^If you don't like something, give it a bad name & reputation as a scapegoat and excuse to thrash and throw it away^

#Mtanikumbuka kwa mazuri
Angalau watu hawatekwi,watu wanapanda madaraja kazini na hajijengei uwanja wa ndege usio na tija kijijini kwake.....na angalau anawaondoa mapema na si kuwabakisha kwa jeuri kama Bashite ili tu kuwakomoa wanaompinga
 
Probably there is nothing good about them.
 
In terms of eloquence and coherence i stand with Jenarali!

No more despots!
 
Uchambuzi mzuri mkuu..umenifunua namna nzuri ya kumuelezea Twaha Ulimwengu.
 
Mfano kiduchu tu huu. Kasome the East African April 13 2021 online huko anavyohororojoka kuua jina la Magu.
 
Mfano kiduchu tu huu. Kasome the East African April 13 2021 online huko anavyohororojoka kuua jina la Magu.
Magufuli alijenga kujiamini ndani kabisa ya mioyo ya baadhi ya watanzania. Amekufa kimwili lakini ule ujasiri wake na uthubutu wa kufanya jambo analoona lina manufaa kwa Tanzania ni kitu kinachoendelea kuishi.
 
The dictator weaponised our beloved country and imposed repressive legislationand i sincerely hope his budding dictator legacy doesn't live after him within his party or in the entire country
 
Propaganda zilikuwa nyingi sana na kwasababu most of Tanzanian ni masikini mbinu yake ya "Robinhood economic policy" ilimpa sifa kwa masikini wengi
Kwa wananchi wa kawaida nakubali. Lakini mbona wasomi wengi nao walijitoa akili na kusema au kufanya vitu vya kiwendawazimu kabisa? Unamkumbuka yule mama waziri wa Afya na malimau yake akifanya vitu vya kichekesho mbele ya kadamnasi? Magufuli angekuwepo mpaka sasa hivi huenda angekuwa ameshapata kichaa. Unamkumbuka ma-profesa wengi wetu walivyojitoa ufahamu kwa kuunga mkono au kusema vitu ambavyo haviendani kabisa na elimu yao? Da... mpaka sasa nikikumbuka inakuwa kama nchi ilikuwa imenyunyiziwa dawa.
 
Magufuli alijenga kujiamini ndani kabisa ya mioyo ya baadhi ya watanzania. Amekufa kimwili lakini ule ujasiri wake na uthubutu wa kufanya jambo analoona lina manufaa kwa Tanzania ni kitu kinachoendelea kuishi.
Jenerali hata hili hawezi kuona. Ni aina ya Wazungu weusi tulionao sasa hivi Tz.
 
Summary ya Ripoti ya TUME YA KERO ZA RUSHWA NCHINI chini ya Jaji Joseph Warioba ya 1996 ukurasa wa 166 katika aya/fungu la 289 hadi 291 ikijadili kuhusu uadilifu wa Viongozi imeandika kwamba "Miongoni mwa sababu zinazofanya uongozi wa juu kuwa dhaifu ni namna wanavyoandaliwa na kuteuliwa. Wengi wa Viongozi wa juu - Makatib Wakuu na Wakuu wa Idara zinazojitegemea, wameteuliwa toka taaluma mbali mbali ambazo sio za utawala na hata baada ya kuteuliwa hawakupitishwa mafunzo ya utawala. Kwa hiyo hawafahamu sheria,Kanuni za utumishi,Kanuni za Fedha na Nyaraka mbali mbali za Utumishi na hazina,
290. Aidha, utaratibu wa kuwateua viongozi hawa wa juu haufahamiki vizuri.Tume ya Mramba ilipendekeza kwa iwepo Kamati itakayomshauri Rais kuhusu uteuzi wa Maafisa hawa ambao itakuwa na wajumbe .........
TUME HII YA KERO ZA RUSHWA iliweka msingi mzuri wa namna ya UTEUZI lakini nani anayesoma NYARAKA ZA MIAKA 25 iliyopita (1996)?
angalia tume inavyosema kuhusu uteuzi..

291.Kuhusu kuzorota usimamizi katika ngazi za katikati tume inakubaliana na TUME zilizopita kwamba Tatizo hili limetokana na kuondolewa kwa kada ya utawala serikalini- Administrative cadre na kutoweka kwa utaratibu wa utawala katika usimamizi wa kazi kulikosababishwa na kuondoa mafunzo na mipango ya kuwaandaa maafisaa hao. Juhudi za kurudisha kada hii hazijafikia kiwango kinachotakiwa. Kada hii ni muhimu sana katika kumsaidia Katibu Mkuu kusimamia nidhamu,maendeleo ya wafanyakazi, matumizi ya fedha,kusikiliza malalamiko ya wananchi na utawala kwa ujumla.
Tume ya warioba ilipendekeza kuwa 293 (iv) Kuwepo kamati itakayoongozwa na Katibu Mkuu wa Rais,itakayo mshauri Rais juu ya uteuzi wa maafisa hawa na kwamba viongozi wa KISIASA WASIRUHUSIWE kupeleka mapendekezo ya watu wanaowataka kwa Rais." Hii iliandikwa mwaka 1996 wakati huo wengine tupo shule ya Msingi kama sio Sekondari; lakini uhalisia unasemaje leo hii 2021.

Nampongeza Rais wetu SSH kwa sababu anawasikiliza wataalam zaidi kuliko wanasiasa ndio maana amefanya mabadiliko ya haraka kwa Mtu aliyemteua kuwa RAS wa Simiyu, kwangu hiyo ni STRENGHTS kubwa; namwombea ujasiri na Moyo uliotulia kwa kusikiliza/"


TV/Radio/au magazeti yanaweza kuandaa kipindi cha mahojiano na Mhe Jaji Warioba kuhusu TUME YA KERO ZA RUSHWA YA 1996
 
Mfano kiduchu tu huu. Kasome the East African April 13 2021 online huko anavyohororojoka kuua jina la Magu.
Katika hiyo article tuambie alichomsingizia Magufuli. Jenerali Ulimwengu ni mtu anayesimia ukweli. Hana masilahi yoyote na ukweli anaosema.

Wengine,pengine na wewe ukiwemo,wanamtetea Magufuli kwa sababu walifaidika na utawala wake wa kiimla. Wengine kwa teuzi za upendeleo. Wengine kwa kupewa mandate ya kutekeleza majukumu yasiyokuwa yao kupitia task force,wengine ubunge wa mezani nk
 

..waliokuwa wakitesa, kudhalilisha, kubambikia kesi, na kuua, wakati wa Mwendazake, ndio wameunda genge la kueneza propaganda kwamba Mama Samia hafai.

..wanaogopa kwamba rekodi zao zikiwekwa hadharani watapata aibu kubwa, na kuingia matatani kisheria.
 
What a hypocrite.

Hivi unawezaje kusema Magufuli aliamuru kwa majaji watu wafungwe, kisa ana personal problems nao.

Katika hao watu 150 waliofutiwa case wangapi anaweza wataja walikuwa na direct or indirect dealings na Magufuli au hata kama walikuwa wanajuana nae at personal level. You can’t just accuse people with nonsense without showing single evidence.

Watu wenye argument ya kusema wapo jela sababu ya Magufuli ni Rugemalila na Seth. But then pressure mmezitoa nyie wenyewe ya hao watu kupelekwa jela kwa story ya kutunga kuanzia bunge, media, politician kama hakina Zitto, social media na baadhi ya vyombo vya serikali: so you can’t put entire blame on Magufuli.

Lakini mtu anakesi ya uhujumu uchumi, DPP anasema kesi aina dhamana, Magufuli sio mwanasheria, hajui details za kesi na pengine wala afuatilii maana alikuwa na kazi zingine za kujenga taifa.

So how the hell mlundikano wa hizo kesi ni tatizo lake watu ambao wengi hawajui na wala details za kesi zao mostlikely hazijui pia.

Pathetic Ulimwengu
 
Ulimwengu ni kundi la fatmakarume na askofubagonza na lwaitamaudasa waliokula matunda ya CCM wakavimbiwa wakaanza kutapika. Mfumo wa chama kimoja ni wa nyerere. Dentetion Act ni ya nyerere, kuhamia dodoma ni nyerere, kuhujumu uchumi ni ya sokoine, kuwafunga UAMSHO ni kikwete.

The most important aspect of all these is that Nyerere and Sokoibe and Kikwete hadi 100% public support, but without kutekeleza. Alichofanya Magu ni kutekeleza, inawauma sana wapinzani, wasaliti na terrorists.

Samia and CCM will still enjoy the public full sport - no question about that - la sivyo wasiporodhika hawatamchagua 2025. Under normal terms, Kikwete angemkaribisha tundulissu futari but poor Magufuli died before he could do a nyamachoma but I very much doubt if Samia will do that.
 
Walikuwa wanajitoa ufahamu kufuata modis operandi ya boss[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ili wasife njaa!

Hata hivyo,Magufuli alikuwa na nguvu ambazo siyo za kawaida! Siamini katika ushirikina lakini nadhani alikuwa anatumia some charms! Kwa vituko alivyokuwa anafanya...watanzania wangekuwa wamechukua hatua zamani..za kumkataa kwa gharama yoyote.
 
Correct[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Unless you are a beneficiary of Magufuli's dictatorship leadership...Jenerali Ulimwengu is correct, Nyerere was correct too!

Jenereli Ulimwengu is a patriotic citizen of this land always speaking the truth.


🙄🙄🙄🙄
 

Katika hiyo article tuambie alichomsingizia Magufuli. Jenerali Ulimwengu ni mtu anayesimia ukweli. Hana masilahi yoyote na ukweli anaosema.

Yeye Jenerali ama wewe mtetezi wa unyoofu wake unaweza toa mifano ya kesi ambazo watu walifungwa kwa shinikizo la Magufuli kwa majaji kama anavyodai hapo juu?
Zaidi mimi naona yeye ndio rais wa kwanza (huenda) kwenda gerezani na kusikiliza kero za mahabusu moja kwa moja na kupelekea wengi wao kesi zao kufutwa baada ya DPP kufuata due process. Mind you hao mahabusu walikuwa gerezani miaka mingi kabla ya jpm kuwa rais.
 
Nani asiyejua nchi ilitawaliwa na hofu(sifa kuu nchi inayotawaliwa na dikteta)? Watendaji wote walicheza mziki wa Magu kwa kuhofia nafasi zao.
 
There are unconfirmed reports that loads of tons of "makinikia" with large quanties of qold are now being shipped overseas. What support does the new government want other than this kind of information to act upon?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…