Jenerali Ulimwengu: Wazalendo wote wanatakiwa kumuunga mkono Rais Samia

Wahutu na Watutsi huwa hawaivi but Huyu Dunia sometimes nahisi uwa anajiover-rate sana..na ana chembe chembe za kujipendekeza na kutaka relevance katika jamii ya TZ.. Hayati wasn't having that BS..Na ni tendency ya watu wanaopenda kuabudiwa ata kama ni nobodies kudharau watu wenye mamlaka.. Sometimes I wonder how some goons here dare talk ill of others to Tarnish their image or to personally gain inches/mileages that leads you to nowhere. SHAME.
 
There are unconfirmed reports that loads of tons of "makinikia" with large quanties of qold are now being shipped overseas. What support does the new government want other than this kind of information to act upon?
They expect us to cheer no matter what shit they spill onto us.
 
.😷
 
""Katika akili AMBAZO RAIS wetu anatakiwa kuwa nazo katika maswala ya ushauri huyu jamaa anastahili.""
 
Hapa Mzee Jenerali umemaliza! Nyerere alikuwa sahihi...tumeshuhudia haya kwa macho yetu kwenye utawala wa hovyo na wa kidikteta wa Magufuli.
Sometimes we overrated Mzee Nyerere..he is the one who installed the so called "weak system"...
 
Can you reply on the strong institutions which he mentioned that help to run the goverment? Is he wrong, elaborate on those points

The question of institutions is deeper than it seems and needs separate discussion. It is beyond presence of institutional frameworks. It involves highly developed political culture and general populace that subscribe to its tenets subconsciously like it is second nature to them. You can't lay all the blames on Magufuli on weaker institutionalism as if he was the only president we had. While truth is he had been the fifth since independence. Now how did the 4 predecessors play their part on this? Everybody is whining Magufuli did not build this. Come on you all..why shift the blame totally on him? Does it show how much expectations you had placed on him to bring about single handedly something that eluded his 4 predecessors?
 
Sometimes we overrated Mzee Nyerere..he is the one who installed the so called "weak system"...
Sure. Hata huu upuuzi wa kuwa na rais, makamu wa rais na waziri mkuu ni matokeo ya imposition ya Nyerere.

Kalifanyia taifa makubwa, lakini yapo ya ovyo yatakayotusumbua muda mrefu ukiwemo huu muungano.
 
Kwa hiyo,kwa uelewa wako hizo drama za Magufuli za kwenda Butimba kwenye here za moja miongoni mean mengi,zinamfanya awe bora? Hivyo ndio vituko vyenyewe vinavyothibitisha mapungufu yake!

A president wasting his valuable time with inmates. No! This is ridiculous!

Badala ashughulikie matatizo makubwa ya nchi na Dunia yeye anahangaika na mambo madogo madogo kutafuta umaarufu kwa watu wajinga wa nchi hii!
 
Ulimwengu hajawahi sifu kiongozi yoyote ambaye siyo muislamu.
 
Kongole mzee wangu Jenerali Ulimwengu!

You are the best brain ever and a brave citizen of this land!

For benefit of the largest audience,please put this valuable post in kiswahili .
Bwana Mfalme your standards of best brain must be quite low. There is nothing here but regurgigation of grudges from an old vendetta. The name itself opens the eyes - Jenerali Ulimwengu - how many marks did you give to that in your best brains assessment league? The one-party system and the imperial presidency were Nyerere's creation, the UAMSHO terrorists were detained by Kikwete, the economic sabotage law is Sokoine's. To be quite sure, Nyerere and So,one and Kikwete had 109%support from the people, Maguguli much more so. We have no room for crooks and terrorists. If this maestro of yours does not know this, and you rate him so high, that means THAT is your own threshold. I think it was proved by President Mkapa that this man is not a citizen of the United Republic, he is Rwandan. He had to fill up naturalisation papers to regularise his citizenship, but by then he had been Ambassador, an MP and an RPC I believe. Hana shukurani huyu, biting the hand that feeds you. Mkapa angekuwapo angenyanganywa uraia.
 

Usikwepe hoja yangu..nilisema nipe mifano ya kesi ambazo watu walifungwa kutokana na shinikizo la Magufuli kwa majaji kama alivyodai ulimwengu na wewe ukasema daima jamaa husema ukweli. huna mfano hata mmoja na yeye hajatoa mifano zaidi ya kuandika shutuma za jumlajumla hazina ushahidi.

Suala la magu kwenda gerezani na kusababisha kesi feki za kubambikwa kufutwa ilikuwa ni counter argument juu ya yeye na wewe kusifia kufuywa kwa kesi za sasa za takukuru. Kukuonesha kwamba hata magu suala hilo keshafanya na ni yeye mwenyewe alichukua initiative kwenda gerezani ziara iliyoibuam madudu kwenye mfumo wa haki. and yet you can't give credits where it is due..
 
Ulimwengu hajawahi sifu kiongozi yoyote ambaye siyo muislamu.
Afya upotoshaji na hoja za kibaguzi.

Jenerali Ulimwengu alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya Kikwete,pengine kuliko raisi yeyote! Kumbe Kikwete ni mkkristo eti?

Halikadhalika,wakati wa utawala wa Mwinyi,Ulimwengu akiwa mbunge,alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali kwa hoja zenye masilahi kwa nchi.

Wakati mwingine,muwe mnaleta hoka zinazosimama kwa misingi ya ukweli,siyo porojo za kuchafua watu kwa hoja za uongo!
 
Nani asiyejua nchi ilitawaliwa na hofu(sifa kuu nchi inayotawaliwa na dikteta)? Watendaji wote walicheza mziki wa Magu kwa kuhofia nafasi zao.
We ukiwa na hofu ya majambazi kila anaegonga mlangoni kwako unamtokea na panga? Si utaonekana mtu wa ajabu.

Kuwa na hofu ya Magufuli aihalalishi watu kukamata na kuwafunga wasio na hatia. Ulimwengu anasema hayo yalikuwa ni maagizo ya raisi, ina maana basi Magufuli alikuwa mwehu kama ni ivyo yaani aagize watu wenye familia zao, asiowajua wakamatwe tu where is the pleasure in that even for a sadists.

Huyo ulimwengu alitakiwa kuweka walau evidence fulani alikuwa na ugomvi au ndugu wa mwanasiasa, mkandarasi, hasimu wake wa muda or anything which implicates Magufuli directly or indirectly.

Huwezi kuamka tu na kumzushia mtu uongo, contrary to the accusations za Ulimwengu kwenye sheria Magufuli alikuwa akilalamika sana mlundikano wa kesi, mahabusu na idadi ya wafungwa. Na alifanya ivyo kwa vitendo ameshawaongezea majaji mara kadhaa, alitoa kibali cha wizara kuajiri ili kuongeza speed kwenye admin za mahakama na mwaka mzima awakufanya ivyo mpaka akawasema hadharani hivi wanafahamu ni sehemu ngapi zingine serikalini zinashida ya kuajiri na ajawapa go ahead.

Sasa ni vipi Magufuli alishawishi watu kuwekwa ndani at his wilful pleasure.

Huyo Ulimwengu aache kuropoka without evidence, hizo kesi hazina uhusiano wowote na Magufuli anachuma dhambi tu huyo old reprobate.
 
Yaani wanaanzishaga story za kutunga kichwani kwao halafu baadae wanajiaminisha ndio ukweli wenyewe pasipo na ushahidi.

What a useless individual huyo Ulimwengu.
 
I again,stand to be counted. Jenerali Ulimwengu has the best brain among us!

I personally have no any interest in Jenerali Ulimwengu. I don't even know him in person. But,through his writings and speech,I can judge his ability, mentally and ethically. The man is patriotic,very patriotic!

Being born in Karagwe,does not make Jenerali to be a citizen of Rwanda. Mkapa used this citizenship weapon to silence him. But to be honest, Jenerali is a citizen of tanzania by all standards. And he deserved all the position he served in government by merit not favour.
 
Nilikuwa nafuatilia vipindi vya Generali Ulimwengu ninapenda tone yake na ujengaji wa hoja.
One great mind [emoji120]
 
Wrong! kwani nimesema hajawahi kosana na muislamu? Mwinyi alimbeba akampa nafasi ya u DC. Akafufua jina la Twaha! Wakati wa Mkapa akapamba moto kwa critique. Alipoingia Kikwete alisifu sana kwenye kipindi chake cha Ulimwengu on Monday, akiwa studio na Tibaijuka. Nadhani JK hakumuona kwa matumaini yake.
 
Ulimwengu bado ana chuki na aliyekuwa rafiki yake Ben na mwendazake Magu, sote tunakumbuka alivyotumia wahariri wa gazeti lake kuwashambulia Ben na Magu na hatimaye Mamvi, shida ya Jenerali ni mjivuni na kujifanya yeye ndie Alfa na Omega, bado anatabia zilezile za kwao.
 
Mzee wa Msogwaaaa anavuruga left right n center
Wastaafu wabakie wastaafu
Wahalifu wawekwe wanakostahili
Kuna Team mbili zinatawala Mama anapewa kalamu na karatasi
Atajikuta anateua mpaka wenyeviti wa vijiji
Kutokujitambua
We are FINISHED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…