Jenerali Ulimwengu: Wazalendo wote wanatakiwa kumuunga mkono Rais Samia

Nawe sasa! Hata kama mtu humpendi, mlinganishe na wengine. Umesahau tulikuwa na marais waliosafiri dunia nzima hadi kupokelewa na wanamziki? Kitabu cha Mwinyi sijui kama kilieleza alivyokwenda kuangalia mziki wa Kanda Bongo man, wakati kuna mgomo wa madaktari Muhimbili!
 
Mkuu walicheza ngoma kulingana na mpigaji alivyo taka kumbuka pia ya prof vimacho na dawa ya Corona toka Madagasca na wataalamu wa afya tena katoka katika hospitali ya taifa na mtambo wa nyungu na hao hao wasomi ndo walimuingiza chaka katika sakata la makinikia nchi hii unafiki ni mkubwa sana mkuu
 

Maneno mazito kwa mtaa wa Ofisi Ndogo Lumumba, lazima kuwatazama wateuliwa wa ngazi hii ya juu yaani Urais.
 
Waandishi aina ya Pasco mayalla!!
 

Dongo jingine kwa Mtaa wa Lumumba
 
Brave indeed, why didn't he say this during disc jockey (Magu)'s error! hahahah
During the first term of Magu in Kigoda cha Mwalimu Nyerere at the University of Dar es Salaam,he said "in democracy we are back 50 years ago!"

It was not easy to say this during Magufuli era. The mzee is very brave!
 
Usihangaike na artist kama Ulimwengu. Anatengeneza scenarios zisizo na ushahidi. Ni qualitative. Mtu anasema watu wengi bila kuwataja. Kesi nyingi bila kuzitaja. Watu waliogopa bila hata takwimu. Baadaye unaona kundi kubwa la watu linaunga mkono eti kweli! Hana lolote zaidi ya historia ya Afrika na kutaja majina ya wapigania uhuru. Ila amekuwa na trend hiyo. Atakuwa vocal sana iwe ni hongo kwa rais aliyepo, amuone, amfahamu.
 
How can you deny I the obvious facts that cases were fabricated to harass his oppents, refer the dropped charges
 
May he rot in hell
 
Mkuu usimfananishe Jenerali na hao watoto wa kishua, maisha yao yote wamekulia kubebwa na baba zao+ccm! Leo wanajifanya wanaharakati, hamna kitu pale
 
Mkuu usimfananishe Jenerali na hao watoto wa kishua, maisha yao yote wamekulia kubebwa na baba zao+ccm! Leo wanajifanya wanaharakati, hamna kitu pale
Sarungi na Ulimwengu ni kitu kimoja kimtazamo ingawa Ulimwengu ni mzee mwenye miaka kama 72-73.

Wote ni waunga mkono harakati (activists).
 

How can you deny I the obvious facts that cases were fabricated to harass his oppents, refer the dropped charges

Hebu toa mfano wa hizo kesi alizoshinikiza watu wakafungwa..wenzako nimewauliza wanapiga porojo tu kama za twaha ulimwengu
 
Hebu toa mfano wa hizo kesi alizoshinikiza watu wakafungwa..wenzako nimewauliza wanapiga porojo tu kama za twaha ulimwengu
Mkuu,Ulimwengu ni level nyingine kabisa. Huwezi kupangua hoja zake kwa ubishi.
Wewe ndiye uliyeshindwa kuthibitisha unachopinga katika maandiko yake. Bahati nzuri Jenerali huandika kwa hoja za kweli tupu! Hanaga kuchapiachapia.
 
Magu kaua jina lake mwenyewe, kwa matendo yake maovu

Nchi ilipokuwa ilihitaji maamuzi ya mtu ambaye historia itakuja kumtambua kama mwasisi wa pili..na huwezi fanya hivyo hadi uonekane "kichaa" kwa maamuzi yako yenye manufaa ila yatakayowakasirisha baadhi na kukuita majina ya ajabuajabu kama unavyofanya wewe. Sankara mwenyewe alisema hilo.
 
Hivi tanuri la mvuke/gas chamber bado lipo Muhimbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…