Jenereta FG Wilson zinauzwa

Jenereta FG Wilson zinauzwa

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
34,962
Reaction score
70,576
Generator 6 zinauzwa kwa pamoja ...brand ni FG WILSON.
Zimetumika kwa muda wa miezi kumi(10) hazina tatizo lolote
Full automatic
Capacity: generator 4@ moja ina KV 30
Na generator 2 kila moja ina KV 100

Zimetumika kwenye kampuni ya wazungu

Bei kwa zote ni 62m. Negotiable.
Location Musoma...
Mawasiliano :
0655 48 15 99
0768 92 64 64
0626 740265

IMG-20200302-WA0017.jpg
IMG-20200302-WA0016.jpg
IMG-20200302-WA0015.jpg
IMG-20200302-WA0014.jpg
IMG-20200302-WA0013.jpg
 
Mbona biashara hii inakua ngumu Kwa Nini muuze zote kwa pamoja vp kama mtu anahitaji moja Kwa matumizi ya nyumbani
 
Mbona biashara hii inakua ngumu Kwa Nini muuze zote kwa pamoja vp kama mtu anahitaji moja Kwa matumizi ya nyumbani


Hii ni asset disposal...wanaondoa wanaleta malimpya..ila nimepata watu wengine pia wanaotaka moja moja..so km uko interested uwekwe kwa list then zitanunuliwa kwa mkupuo...!utapata yako
 
Back
Top Bottom