Jenereta kubwa aina ya Perkins KVA 27 linauzwa,lipo mikocheni B bima road,limefanya kazi masaa 2746. Kwa sasa linatumika kuendeshea container za cold room, lipo katika hali nzuri, engine haijaguswa, haitoi moshi. bei ni milioni 12 maongezi yanaruhusiwa.