Jenga gorofa moja kwa gharama nafuu

Acha tu mkuu, mimi mwenyewe niliponea chupuchupu kunasa kwenye huu mtego wa ghorofa. Mpaka siku kuna rafiki yangu ni engineer akanikalisha chini akanishushia mahesabu, kisha akanipeleka sehemu akanionyesha kighorofa ambacho kimeshakula 120m na hakijaisha bado. Nikasema huu ujinga sifanyi....!!

Nikatandika kitu cha chini cha uhakika, chenji mpaka leo naendelea kutafunia mbususu 😄
 
Miaka 6 utumie laki mbili kwa mwezi ili uje kuishi kwenye ghorofa!!! Uzuzu
 
Hutakiwi kujenga kwa haraka
 
ha ha ha kila kitu kina umuhimu wake mkuu, ulimwengu wa sasa unataka ujenge kwenda 'vertical' na si 'horizontal'

Mzeya ulifanya ya maana. Jambo muhimu ni kwamba una pakuishi. Matumizi mazuri ya pesa ni kula mbususu tuu maana hizo gud memories utaenda nazo mpaka kaburini
 
Mbona kuna nyumba za chini zilizo expensive kuliko ghorofa depending na mchoro na quality ya kazi anayoitaka mmiliki....anyway 116 bags ni chini ya 2,000,000 kuna maajabu gani sasa hapo?
 
Hutakiwi kujenga kwa haraka
Wengi tunaojenga tunakua na haraka maana unataka umalize mjengo wako uhamie kwako. Mfano kama umepanga, kadri unavyochelewa kumaliza nyumba yako ndio kadri unavyozidi kulipa kodi. Pia wengi tunakula timing nyumba iishe kabla watoto hawajafika sekondari nk. Mambo ni mengi.

Sasa ukijikuta miaka 8 bado unapambana na nyumba tu haiishi aisee unaweza fika mahali ukaitelekeza kabisa maana hata ule mzuka wa nyumba tena unakua umeshaisha.
 
Mbona kuna nyumba za chini zilizo expensive kuliko ghorofa depending na mchoro na quality ya kazi anayoitaka mmiliki....anyway 116 bags ni chini ya 2,000,000 kuna maajabu gani sasa hapo?
Hiyo cement bado kokoto nondo sijui marine boards mirunda ukodi poker concrete mixer, mambo ni mengi sana.
 
Ni kweli, nyumba ya kwanza unaweza kujenga kawaida, kuanzia ya pili nakuendelea, unaweza kuanza kujenga nyumba ya ndoto zako, kwa sababu unakuwa hauna presha.
 
Hiyo cement bado kokoto nondo sijui marine boards mirunda ukodi poker concrete mixer, mambo ni mengi sana.
Hela nyingi inapotea kwenye vitu vinavyo sapoti huo ujenzi kama marine board, mbao n.k ambazo baada ya kazi vinakuwa havitumiki tena kwenye huo ujenzi, pia idadi ya nondo na gharama zake
 
Hela nyingi inapotea kwenye vitu vinavyo sapoti huo ujenzi kama marine board, mbao n.k ambazo baada ya kazi vinakuwa havitumiki tena kwenye huo ujenzi, pia idadi ya nondo na gharama zake
Na hivi vitu kama ulivokwisha sema vinakodishwa ukitaka...ama ukiamua nunua unaweza viuza kwa wanaofanya biashara ya kukodisha ikasaidia kurudisha pesa yako
 
Usingizi ukiwa vertically ni mzuri sana, unaiwahi oxygen kabla hamjagawana wote.
 
Si ndiyo maana kinyesi cha tembo ni tofauti na cha mbuzi kwa ukubwa na maumbile ingawa wote wanakula majani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…