Jenga gorofa moja kwa gharama nafuu

Kwenye ujenzi, watu wengi hutishana sana…. nilishakataa kuchukua ushauri wa kukatisha tamaa.

Wengi wao ni kweli kabisa uwezo hawana, sasa ukisikiliza porojo zao utaona kabisa haiwezekani.

Chukua ushauri kwa waliofanikiwa TU.
 
Kuna haja gani kujenga ghorofa?
 
Nataka kujenga mnara wa kuweka tank za maji za litte 5000 mbili, yaani 10000 litres.

Nitatumia mbinu maana maelekezo ni mengi na yanatishia budget saana.. yaani msingi tu million tatu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Gharama kubwa sana ukifikia hatua ya kuya fanyia installation matank nistue nita kufanyia kwa ubora na kwa bei nafuu sana
 
Msikatishane tamaa palipo na nia lolote linawezekana. Hata hao walimu na manesi wanaweza kujenga hivyo vighorofa vya kuzeekea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…