Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

GreenHouse,

Umeshajenga ngapi nyingine mbali na hiyo ya shamba darasa?
 

Ndugu jibu lipo kwenye page ya kwanza ya uzi huu. Lets read up a bit
 
Nami naomba nitumie mchanganuo kwenye zuenachanzi@gmail.com[EMAIL="gmail.com@gmail.com/* <![CDATA[ */(function(){try{var s,a,i,j,r,c,l,b=document.getElementsByTagName(&quot;script&quot😉;l=b[b.length-1].previousSibling;a=l.getAttribute('data-cfemail');if(a){s='';r=parseInt(a.substr(0,2),16);for(j=2;a.length-j;j+=2){c=parseInt(a.substr(j,2),16)^r;s+=String.fromCharCode(c);}s=document.createTextNode(s);l.parentNode.replaceChild(s,l);}}catch(e){}})();/* ]]> */"][/EMAIL]
 
Ndugu jibu lipo kwenye page ya kwanza ya uzi huu. Lets read up a bit

nilipitia kote na nikaona hivyo havijagusiwa kwa undani, nikafikiri unaweza nipa uzoefu wako, kwa mfano, mosi GH lililopo pwani wakati wa jua kali kama linapita joto la 40c?

Pili upepo na baadhi ya wadudu kama nyuki na jamii yake wanahitajika kwa ajili ya pollination hii inafanyika vipi kwenye mazingira yaliyozuia upepo na wadudu hao?
Pia nimeona mkuu mmoja katoa mfano wa GH kwa wenzetu wa Uganda ambapo tatizo linaweza kuwa nematodes au virus wanaoshambulia Nyanya hivyo ningependa kufahamu kwa uzoefu wako jinsi unavyowadhibiti.
 

Kila eneo lina material yake ya ujenzi kulingana na hali ya hewa ya eneo husika. Mf kigoma itafunikwa na poly covers tofauti na zitakazofunika arusha au dar. Mbegu tunazopanda ni self pollinating, sio lazima zisaidiwe na wadudu. Pia kuna mbinu na kuongeza kasi ya uchavushaji tutakufundisha utakapofungiwa greenhouse nasi. Kuna baadhi ya mambo katika kilimo ni more practical, mpaka uwe na greenhouse ndio tutaelewana. Nematodes na bacteria sio tatizo kama unafahamu jinsi ya kujikinga. Virus hawana dawa ila kuna kinga za kusaidia kupunguza maambukizi. Iwapo yatatokea kuna mbinu mbadala za kilimo tutakuelekeza.
 

nimekupata mkuu,
mia.
 
Hizo gharama ni kubwa mno. Green house zenywe zinaonekana cheap made na material.



The king.
 

GreenHouse kweli hubahatishi..
Jamaa kauliza maswali mazuri umetoa majibu mazuri...
Nimependa hapo "Iwapo Itatokea"...
 

Niaa kupata mail yako. Ya kwangu ni eliphasy@gmail.com
 
Greenhoue a vtunguu nayo inapatikana?
 
Nna milioni moja na nusu kwa huu mradi alie na driplines and other equipment ani pm tuzungumze.
 
mkuu habari nlikua nahitaji mchanganuo wa project nzima ya green house ikiwezekana nije sight nione.pole kwa usumbufu
 
naomba unitumie mchanganuo wa gharama halisi za ujenzi wa green house. Nitumie kwa anuani hii:jumaa13madame@gmail.com
 
Mi nataka drip line za nusu heka,zinaghalimu bei gani bila tenki bila ufundii? Tenki ninalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…