Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu


Mleta mada, taarifa hii ni ukweli mtupu, data zako ni za biaphara haziko sahihi umezizidisha mara nne, zinatakiwa uzigawe kwa nne ndio zinakua sawa, muache kudanganya, tunashidwa kuwaamini, nyie mnawaza kuuza tu
 
Call my friend Mr. Kindi for all weather EU standard Green Houses and Chicken houses

Mwambie akalime mwenyewe, anauza bei kubwa sana, akilima hata agiza kuuza tena bali ataagiza kulimia mwenyewe, over..
 
Mkuu greenhouse, kwenye hiyo 2.5 mil unapata pia na timer, pressure regulator, backflow preventor and emitters? naomba kujua hili na kama huna vinapatikana kwa sh ngapi?
 
Aise kazi nzuri bwana mkubwa am very impressed na huu uzi......kama unaweza kunitumia costs hizo kwenye hii mail symonjr@yahoo.com hili nijiangalie mfuko wangu kama kazi inafanyika tuanze haraka
 
very impressive! Nimemaliza chuo ila sina ham ya ajira nahitaji kujiajiri,naombeni namna ya kupata mkopo kwaajili ya kilimo cha mboga mboga! nina business plan tayari
 
Ntumie detail zote whatsapp namba yangu ni hii 0713027214,tutafanya kitu siku za mbeleni.
 
 
Chief nimekuelewa vizuri mno and being interested, naomba nutumie hiyo package including cost kwenye email
stephenndezu@gmail.com
 
mkuu greenhouse gharama ya greenhouse ya 240 m2 yan 8 x30 ni sh ngapi yaan kila kitu
 
Naomba unipatie namba yako ili leo au kesho nije hapo Mikwambe unipatie darasa. Maana nataka nianze kilimo cha Nyanya wiki ijayo
 
Hivi wahusika wa Uzi huu wamefichwa wapi? Nimewatafuta saana kwa namba zao zote hazipatikani, wakati nataka tufanye biashara
 

mkuu tusaidie mawasiliano yako zaidi kukupata kama emails pia makadirio ya mafundi ikiwezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…