Jenga Morali kwa wachezaji Simba SC, Kumbe Ndugu yangu yupo Zambia! na Baba yake aliwahi kucheza Zesco United

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Salaam Tanzania, Natumai ni wazima

Jumapili ya Agosti 25, 2019 ni siku mbaya sana wa sisi Wanasimba kindakindaki kwa matokeo mabaya ya kufurushwa kwenye mashindano ya kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika.

Ndugu zangu Wanasimba Jenga Morali kwa wachezaji wetu Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, tuwaunge mkono, si wakati wa kutupa lawama kwa viongozi na wachezaji pamoja na benchi la ufundi, kawaida ya mpira unatoa matokeo pengine hayatarajiwi pamoja na kujiandaa kwa asilimia 99%, maana naona wengine wameanza kuwataja akina Emmanuel Okwi, jamani kwa style hiyo hatuwezi kusonga mbele na madhara yake ni kuwavunja moyo wachezaji wengine, ni sawa kuwakumbuka akina Kibadeni na Mwameja ambapo muda wao tayari umepita.

Jamani tusisahau vilevile mpira kuna bahati, na siku ya Jumapili haikuwa bahati yetu Wanasimba, hatujafungwa lakini tumeondoshwa kwa kanuni, kwahivyo jambo muhimu kwa sasa tuangalie patashika nyingine VPL, na ASFC kwani tuna timu bora kabisa kwenye ukanda huu, soka la Simba SC ni level ya juu iliyothibitishwa na Shirikisho la Kandanda Afrika CAF.

Kwa upande wa pili, kutoka kuanza kwa michuano hii 2019, tulijitahidi sana kuwa wazalendo kupitia kwenye Tv, Radio na baadhi ya mitandao ya kijamii, lakini mmekosa busara, lakini tunasema tutalipa ili mjifunze.

Na hapo nilifarijika mno baada ya kusoma historia ya Klabu ya Zesco United nimegundua kumbe Ndugu yangu mimi Ghazwat wa damu kabisa yupo Zambia, na baba yake amewahi kuchezea Zesco United, kwahivyo Wanasimba kwa niaba Ndugu yangu, Zesco watatufurahisha mno, Unyama Unyamani NguvuMoja.
IMG_20190827_124631_047.jpeg
IMG_20190827_124302_114.jpeg
 
Salaam Tanzania, Natumai ni wazima

Jumapili ya Agosti 25, 2019 ni siku mbaya sana wa sisi Wanasimba kindakindaki kwa matokeo mabaya ya kufurushwa kwenye mashindano ya kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika.

Ndugu zangu Wanasimba Jenga Morali kwa wachezaji wetu Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, tuwaunge mkono, si wakati wa kutupa lawama kwa viongozi na wachezaji pamoja na benchi la ufundi, kawaida ya mpira unatoa matokeo pengine hayatarajiwi pamoja na kujianda kwa asilimia 99%, maana naona wengine wameanza kuwataja akina Emmanuel Okwi, jamani kwa style hiyo hatuwezi kusonga mbele na madhara yake ni kuwavunja moyo wachezaji wengine, ni sawa kuwakumbuka akina Kibadeni na Mwameja ambapo muda wao tayari umepita.

Jamani tusisahau vilevile mpira kuna bahati, na siku ya Jumapili haikuwa bahati yetu Wanasimba, hatujafungwa lakini tumeondoshwa kwa kanuni, kwahivyo jambo muhimu kwa sasa tuangalie patashika nyingine VPL, na ASFC kwani tuna timu bora kabisa kwenye ukanda huu, soka la Simba SC ni level ya juu iliyothibitishwa na Shirikisho la Kandanda Afrika CAF.

Kwa upande wa pili, kutoka kuanza kwa michuano hii 2019, tulijitahidi sana kuwa wazalendo kupitia kwenye Tv, Radio na baadhi ya mitandao ya kijamii, lakini mmekosa busara, lakini tunasema tutalipa ili mjifunze.

Na hapo nilifarijika mno baada ya kusoma historia ya Klabu ya Zesco United nimegundua kumbe Ndugu yangu mimi Ghazwat wa damu kabisa yupo Zambia, na baba yake amewahi kuchezea Zesco United, kwahivyo Wanasimba kwa niaba Ndugu yangu, Zesco watatufurahisha mno, Unyama Unyamani NguvuMoja.View attachment 1191147View attachment 1191148
Kwahiyo umeamua kuhama timu baada ya kutolewa mara moja tu?!!!, hufai kuwa shabiki wa 5imba wewe.
 
Wapi nimetangaza kuhama? Mbona husomi vizuri thread? Nimesema kuna Ndugu yangu Zambia, na nimejiita Wanasimba hapo..!NguvuMoja
Kwahiyo umeamua kuhama timu baada ya kutolewa mara moja tu?!!!, hufai kuwa shabiki wa 5imba wewe.
 
Nina subiri watani wetu wabebe timu nyingi zaidi ya tulizobeba sisi
 
Salaam Tanzania, Natumai ni wazima

Jumapili ya Agosti 25, 2019 ni siku mbaya sana wa sisi Wanasimba kindakindaki kwa matokeo mabaya ya kufurushwa kwenye mashindano ya kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika.

Ndugu zangu Wanasimba Jenga Morali kwa wachezaji wetu Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, tuwaunge mkono, si wakati wa kutupa lawama kwa viongozi na wachezaji pamoja na benchi la ufundi, kawaida ya mpira unatoa matokeo pengine hayatarajiwi pamoja na kujiandaa kwa asilimia 99%, maana naona wengine wameanza kuwataja akina Emmanuel Okwi, jamani kwa style hiyo hatuwezi kusonga mbele na madhara yake ni kuwavunja moyo wachezaji wengine, ni sawa kuwakumbuka akina Kibadeni na Mwameja ambapo muda wao tayari umepita.

Jamani tusisahau vilevile mpira kuna bahati, na siku ya Jumapili haikuwa bahati yetu Wanasimba, hatujafungwa lakini tumeondoshwa kwa kanuni, kwahivyo jambo muhimu kwa sasa tuangalie patashika nyingine VPL, na ASFC kwani tuna timu bora kabisa kwenye ukanda huu, soka la Simba SC ni level ya juu iliyothibitishwa na Shirikisho la Kandanda Afrika CAF.

Kwa upande wa pili, kutoka kuanza kwa michuano hii 2019, tulijitahidi sana kuwa wazalendo kupitia kwenye Tv, Radio na baadhi ya mitandao ya kijamii, lakini mmekosa busara, lakini tunasema tutalipa ili mjifunze.

Na hapo nilifarijika mno baada ya kusoma historia ya Klabu ya Zesco United nimegundua kumbe Ndugu yangu mimi Ghazwat wa damu kabisa yupo Zambia, na baba yake amewahi kuchezea Zesco United, kwahivyo Wanasimba kwa niaba Ndugu yangu, Zesco watatufurahisha mno, Unyama Unyamani NguvuMoja.View attachment 1191147View attachment 1191148
Mkuu ni kweli uwezo wa Simba umethibitishwa na CAF ndio maana imetolewa kwenye michuano ya CAF mwaka huu.
 
Mkuu Mawembasa1979 hivi hilo hukuliona hatua ya Simba SC mpaka kupelekea Tanzania kuingiza timu Nne..!? Historia ni kama boya kwenye baharini, litaibuka tu.
Mkuu ni kweli uwezo wa Simba umethibitishwa na CAF ndio maana imetolewa kwenye michuano ya CAF mwaka huu.
 
Hata mimi ninandugu yangu ni mzambia
Wakati nasoma tegeta high school kipindi hicho mh diwan patrick makoyola akiiongoza hiyo shule kama head master,alikuwepo mwanafunzi alikuwa rafiki yangu sana mcheza basketball,alikuwa anaitwa MZAMBIANO,hawa ZESCO ni rafiki zetu hawa,hatuna upinzani nao wa JADI
 
Thubutuu yake..Wako njiani mwezi ujao, kumbuka miaka mitatu walikusanya alama 3 pekee!

Simba SC mwaka mmoja alama 15..Kwahivyo hawezi kuleta manufaaa kwa klabu nyingine

Hao ni wa hapa hapa FC[emoji23][emoji23]
Nina subiri watani wetu wabebe timu nyingi zaidi ya tulizobeba sisi
 
Yes mkuu, namna hiyo...Unaachaje kumkumbuka ndugu yako kisa yuko nje ya nchi.

Mbona wao wana Ndugu wakongo, wamsumbiji kwanini iwe Nongwa kwa Simba SC
Hata mimi ninandugu yangu ni mzambia
Wakati nasoma tegeta high school kipindi hicho mh diwan patrick makoyola akiiongoza hiyo shule kama head master,alikuwepo mwanafunzi alikuwa rafiki yangu sana mcheza basketball,alikuwa anaitwa MZAMBIANO,hawa ZESCO ni rafiki zetu hawa,hatuna upinzani nao wa JADI
 
Nazungumzia kiwango cha siku ya msiba tarehe 25/08/2019 Boss wangu!
Kiwango kilikuwa juu sana..Ila matokeo ya ushindi ndo imeshindikana na hilo hata klabu yoyote wanaweza kupata matokeo hayo, pamoja performance ya hatari

NguvuMoja..!
 
Mkuu ili msipoteze rasilimali zenu zaidi nashauri muwapeleke kwa mkopo wafuatao; Ajibu, Ndemla, Kennedy na wale Wabrazil watatu.
 
Samahani Kaka Mkubwa! Mbona kila ukiandika SIMBA pale penye S unareplace na 5?
••Anamaanisha ubao ulisomeka hivi kipindi fulani huko..!

•••Simba SC 5-0 Yanga SC
 
Thubutuu yake..Wako njiani mwezi ujao, kumbuka miaka mitatu walikusanya alama 3 pekee!

Simba SC mwaka mmoja alama 15..Kwahivyo hawezi kuleta manufaaa kwa klabu nyingine

Hao ni wa hapa hapa FC[emoji23][emoji23]
Mwaka huu mmekusanya alama ngapi?Daah mtavimisi vipolo......!
 
Back
Top Bottom