Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Kila comment humu unagundua kila mmoja yupo kwenye kundi la watu smart, watu bora ambao ndio wanaokataa marafiki wasioendana nao.. Hivi hilo kundi jingine huwa hawapo humu? Wenye sifa za kukataliwa? Wanaotakiwa kuepukwa?

Sijui mnanielewa?
Lengo ni kujifunza, kuhusu u smart - tuachie wenyewe tuna jua🤒.
keisangora, EMMYGUY, MIXOLOGIST, Gily Gru,
👉Hao ni moja ya watu smart Sana mzee
 
Kila comment humu unagundua kila mmoja yupo kwenye kundi la watu smart, watu bora ambao ndio wanaokataa marafiki wasioendana nao.. Hivi hilo kundi jingine huwa hawapo humu? Wenye sifa za kukataliwa? Wanaotakiwa kuepukwa?

Sijui mnanielewa?
Binafsi nimekuelewa. Iliwahi kunitokea kipindi naanza kupambana, ila kwa baadae nikajagundua hao walionitenga walikuwa sahihi. Walinipa morali ya kupambana na kutokata tamaa.

Hata sasa kundi la marafiki nilionao ni tofauti na lile wakati naanza kupambana.

Kuna marafiki wanakuja kulingana na kazi/biashara unayoifanya, wengine watakutafuta na wengine unawatafuta pia.

NB:
Sijui kuandika kwa upana kuliko kuongea jamani.
 
Ila sasa huwezi zungumzia mafanikio yako bila kuzungumzia waliokutenga. Ingewezekana wakaku support using kuwa na uchungu na maisha.
 
mshamba_hachekwi Andazi someni kwa makini watoto wazuri. Bado mna nafasi nzuri ya kufanya kweli
 
Ila sasa huwezi zungumzia mafanikio yako bila kuzungumzia waliokutenga. Ingewezekana wakaku support using kuwa na uchungu na maisha.
Ni kweli kabisa mkuu, watu wanaokutenga katika kupambana kwako ni kama changamoto kuzigeuza kuwa fursa, hapo ndo mafanikio huja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…