Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Hilo swali niliwahi ulizwa kipindi Niko nasota hata hela ya kulalia Sina😂🤒
👉 Kweli kabisa, watu badala watengeneze maisha yao.
👉Mtu Yuko bize kuonyesha I got some 🤒
 
Sawa kaka., Ila Kuna swali je kijana aliye graduate ana weza Vipi kutumia maarifa yake kuwa pesa[emoji848]
Swala la msingi kwanza ajue namna ya kugeuza elimu yake kuwa fulsa, maana kitendo Cha kutambua namna ya kuchanganua changamoto za watu kuwa pesa ni maarifa kamili ,,
2 huyo graduate asiishi maisha ya yatakayomfunga yeye kuchangamana na wafia juani baadala yake ahakinishe anajihusisha zaidi na watu wenye mawazo madogo ktk kutafuta fursa ili kutumia elimu yake na elimu ya elimu ya vitendo vya wafia juani kipo atakachokipata kwakutumia taaluma popote pagumu hapakosi fulsa,, ikumbukwe kwamba yeyote mwenye elimu kuanzia degree huyo anachukuliwa kama ni muajiri ,,shida tunayoipata wengi wanashindwa kuigeuza degree kuwa pesa,,
2 aheshimu na kuyachakata mawazo ya wengine ambayo yanatija ndani yake,,
3 awe mwepesi kushirikisha watu wazo lolote linalohusu biashara,,zipo njia za ushirikishaji
Anaweza akawa na mtaji wa laki 5 hrf akawaandaa wa mama,madada smart akawanunulia samaki wabichi awakaange vzr hao wadada wanatembeza kitaa Kwa makubaliano ya bei , ukihitaji Kila samaki ni sh 3000 yeye dada akiuza 4000 buku ni ya muuzaji hrf anawalipa Kwa siku! Kisha ili kupata njia ya kujitanua kibiashara anaweka vikao na watumishi wake kuhoji changamoto na maboresho yanayotakiwa,,hivyo ndivyo wasomi mnatakiwa kufanya! Karibu sana Africa mpya
 
keisangora, EMMYGUY, Gily Gru, mshamba_hachekwi, YoungPastor kuleni maarifa hayo.
 
So TRUE. Well Said.
 
Nilitoka home kuja town
Sikuja kusaka nongwa aisee
Mishe mishe zangu
Ndo Zina fanya nisurvive aisee💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…