Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

More love less ego bro๐Ÿ’ช keisangora
 
Jenga ngome YAKO ila usiishi kimazoea,
Eleza vizuri kijana,ngome hujengwa na wewe ila kuendelea/kukua kwa ngome sometimes kunahitaji nguvu ya watu wa karibu wenye malengo sawa na wewe(marafiki or watu wa karibu)

Unaweza kuwa na pesa ukahitaji ukaribu wa watu walio na pesa kama au zaidi ya wewe,ukifikiri utapata zaidi ya ulichonacho kutokana na maarifa ya pamoja lakini kumbuka awazalo yeye huenda likawa ni kufaidika zaidi yako na mtu mwenye maarifa asiye na pesa akakufaidisha zaidi ya mwenye pesa na malengo tofauti na yako ambayo huwezi kuyafahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ