Peter Mwaihola
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 276
- 460
1. Fanya tathmnini ya kila uamuzi unaotaka kuufanya jua matokeo yake, faida na hasara pima uzito wa matokeo hayo kisha chagua njia sahihi ya kuamua kulingana na matokeo uliyoyapata.
2. Washirikishe watu ili kupata ushauri kisha pima ushauri wao ukilinganisha na tathmnini yako. Ila usipokee ushauri kutoka kwa washindani au adui zako watakupoteza.
3. Jipe muda wa kufanya tathmnini ya pili kwa kuhusianisha ushauri na matazamo wako juu ya jambo husika.
4. Chagua uamuzi sahihi na uweke mikakati namna ya kuutekeleza, usipokee tena ushauri.
5. Fanya uamuzi kisha subiri matokeo.
6. Jiandae kwa lolote litakalotokea liwe jema au baya, usijutie wala kulaumu.
Watu wengi hawana furaha kwenye maisha yao kwa sababu ya kukosa nguvu ya kuamua kuhusu mambo yao, huishia kuchanganyikiwa na kupata msongo wa mawazo.
Kuwa mtu mwenye uwezo wa kujisimamia