The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Tembeleeni wagonjwa ni binadamu walikuwa na afya njema kama wewe japo ushiriki nao ulimwengu wao wa kipekee ambao na wewe siku moja lazima utapitia mazingira hayo japo yanatisha..🙏🏿🙏🏿🙏🏿GT
Tunaishi hapa duniani ila.kuna baadhi ya maeneo ni hapa hapa duniani ila watu huwa katika ulimwengu tofauti kabisa hasa wagonjwa hospital na majumbani.
Ukifika hospital kuona wenzako wanavyotaabika na magonjwa utapata somo, ukiwajali na kuwasidia utapata utulivu wa moyo kwa kiasi fulani utaona pia namna wauguzi wetu walivyo na kazi ngumu.
Tembeleeni wagonjwa ni binadamu walikuwa na afya njema kama wewe japo ushiriki nao ulimwengu wao wa kipekee ambao na wewe siku moja lazima utapitia mazingira hayo japo yanatisha..
Asante.
Itapendeza sana ndugu. Unajua ukiwa uraia huku tunajisahau sana, ila.ukifika hospital ndo utaelewa vizuri andiko.languAsante mkuu, andiko lako limenifanya nipigwe ganzi sek 5. Likizo hii nitatembelea watoto wenye mahitaji kwenye makambi yao
Utaratibu upoje kaka…Niliwahi kufanya huu utaratibu pale hospital ya temeke nilipelekaga sabuni na mito kwenye wodi ya mama wajawazito
Kabla ya hapo tuliongea na menejimenti ya hospital ya temeke kuwa sisi kama wafanyakazi wa taasisi____ tunataka kutoa msaada hapo tukakubaliwa kesho yake tukaanza safari hadi temeke na tukatoa msaadaUtaratibu upoje kaka…
Nawaza mtu binafsi, au kidogo changu kitapuuzwa?Kabla ya hapo tuliongea na menejimenti ya hospital ya temeke kuwa sisi kama wafanyakazi wa taasisi____ tunataka kutoa msaada hapo tukakubaliwa kesho yake tukaanza safari hadi temeke na tukatoa msaada
Hata mtu binafsi Inawezekana kakaNawaza mtu binafsi, au kidogo changu kitapuuzwa?