Jengea tofali imara za mwamba kutoka Holili, Rombo, Kilimanjaro

Kuwa na mawakala then uproduce mengi ya kutosha . uzia kila mkoa maana wengi wanataka. Fungua ofisi kila mkoa
 
2300 kwa 2400
Nilishakuuliza unipe details za hii mashine ukanyamaza kimya. Ila bana mangi wao wanataka uwape hela Ila wao kumpatia kyasaka Ni ishu kubwa .mie Niko mbali na wewe bana usiogope ushindani, ama network unatoa kwa anayeongea lugha moja na wewe.
Hapa ndio utajua hujui kukuta mangi ananunua duka la kyasaka na pembeni Kuna ndugu yake pembeni yaani ndio utajua mangi walivyo wakenya na ilhali wanaishi Tanzania
 
Hata kama ni imara ila hizi vitu ziko overpriced sana
tofali zetu unaweza usipige plasta au zikujengwa vizuri hazihitaji plasta nje na ndani kwahiyo hiyo gharama ya tofali inafidia yoote hayo pia tofali yetu ni ngumu kwa bahati mbaya ukibomoa nyumba utaweza kuzitumia tena pia haziathiriwi na magadi wala chumvi chumvi kwa wanojengea maeneo korofi gharama ya kurekebisha nyumba mara kwa mara ni kubwa kuliko kununua na kujengea tofali zetu kwa Dar tunapatikana Boko msikitini au tupigie 0682770944
 
piga simu namba iko hapo Mashine ni mac cutting mashines unaweza kugoogle ukapata detail ila sio chini ya mill 300 na Mangi
 
Usipopiga plasta ndani zile pipes za umeme na maji utaacha hivyo hivyo wazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…